Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,786
- Thread starter
- #101
Ahaha usijarApo ningekula salad tu 😍 darasa likiwa kubwa m naomba niajili niwe naanda viungo jamen
Ahaha usijarApo ningekula salad tu 😍 darasa likiwa kubwa m naomba niajili niwe naanda viungo jamen
Nakuja, nimebeba na hotpot.Leo upitii kula?
Utakuta ni msukuma alichanganya njugumawe akijua ni njenjere.
Kwa Msukuma kila kitu kinawezekana. Mpaka kuchanganya njugumawe na njegere dah! 😡😡😡😡
Chukua na juice contena ubebe juiceNakuja, nimebeba na hotpot.
Wale jamaa hawanaga kwere,hawana maringo.Kwa Msukuma kila kitu kinawezekana. Mpaka kuchanganya njugumawe na njegere dah! 😡😡😡😡
Wasukuma ni shida mkuu 😂Wale jamaa hawanaga kwere,hawana maringo.
HakikaWasukuma ni shida mkuu 😂
Nimesikitika sana mkuu.Kwa Msukuma kila kitu kinawezekana. Mpaka kuchanganya njugumawe na njegere dah! 😡😡😡😡
NdioUpo serious data
Asante.
Mambo yalikuwa mazuri sana 😋😋
Huo wali mbona Una rangi rangi au ndo Biriani?
Ahahha et nikukosea 😂 pika tuoneMwachiluwi ntapika pilau halafu ntakuonyesha unikosoe. Napenda pilau naweza kujaribu kupika ntafuata hizi hatua zako
Mie napenda pilau jeupe jeupe. Yaani niweke viungo vizima. Nikiweka vya kusaga naona kama inakuwa chungu
Kabisa mpwa.Mambo yalikuwa mazuri sana 😋😋
Hii ni biriani kavu mpwa.Huo wali mbona Una rangi rangi au ndo Biriani?
Siku nyingine utukaribisheKabisa mpwa.
Nilienjoy mno!!
Sure kujua kupika inasaidia sanaHii ni biriani kavu mpwa.
Japo mie si mpenzi wa biriani, ila nilipata mgeni ikabidi nimpikie maana anapenda sana biriani.
Ndipo nikampikia biriani kavu la pishori, kuku wa kukaanga, yai la kuchemsha, kachumbari ya kiswahili na bila kusahau ndizi pembeni.
Kufahamu na kujua kupika ni raha sana.
Hapa kisamvu cha karanga, sangara wa chukuchuku na kaugali kalaini.
View attachment 3285163
Sawa, kesho nitakukaribishaSiku nyingine utukaribishe