Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,437
Sana.Sure kujua kupika inasaidia sana
Raha sana
Sana.Sure kujua kupika inasaidia sana
Chakula kizuri sana leo mimi nilikuwa na wageni walinishtukiza nilipika vingi ila sikuweza kupiga picha niwek hapaSawa, kesho nitakukaribisha
Ila leo nimepika hivi
View attachment 3285202
Nyama ya ng'ombe nimechanganya na viazi,
Mchicha pori (bwasi) nimechanganya na mgagani, mnafu na nyanyachungu.
Wali wa nazi.
Karibu sana.
Nina vyungu vya kupikia kama 20 hv, napenda sana kupikia vyungu.
Si unajua nina unyamwezi upande wa mama.
Wanyamwezi na vyungu ni kama uji na mgonjwa
Unakula kile unapeNdaSana.
Raha sana
Asante, hiki kinaleta usingizi fofofo😄Chakula kizuri sana leo mimi nilikuwa na wageni walinishtukiza nilipika vingi ila sikuweza kupiga picha niwek hapa
Kabisa.Unakula kile unapeNda
Hapa nipo hoi af walinishtukiza nilipika ving catress tambi keki ndizi samaki za kukakaanga na juice hapa nataka kulalaAsante, hiki kinaleta usingizi fofofo😄
Ila umetukosesha uhondo wa pishi lako kwa njia ya picha mpwa.
Na ukijua kula chakula alipika mwenzio unakiwazia sanaKabisa.
Ukiwa na hamu na chochote kile unajipikia zako.
Ila cha kusubiria kipikwe...siwezi
Aiseee 😋Hapa nipo hoi af walinishtukiza nilipika ving catress tambi keki ndizi samaki za kukakaanga na juice hapa nataka kulala
Kabisa.Na ukijua kula chakula alipika mwenzio unakiwazia sana
We kijana unapata wapi huo muda na mazaga hayo🙌🏽?? Kwahiyo ukipata wageni unawapikia??Hapa nipo hoi af walinishtukiza nilipika ving catress tambi keki ndizi samaki za kukakaanga na juice hapa nataka kulala
Siku ukiona nimeshusha hapa thread ujue ni wali wa nazi na tambi nikichanganya na waliAiseee 😋
Haya mpwa pole kwa uchovu.
Pumzika, kesho.
Ila jua kuna baadhi ya wanawake umewashinda upishi.
Ndio walikuwa wamekuja na vitu kabisa nisingeweza kukataa af ilikuwa saa kumi saa kumi nambili wanafutarWe kijana unapata wapi huo muda na mazaga hayo🙌🏽?? Kwahiyo ukipata wageni unawapikia??
Wali wa kimoroko.Siku ukiona nimeshusha hapa thread ujue ni wali wa nazi na tambi nikichanganya na wali
Kwahiyo wamekuja kuomba uwapikie🧐Ndio walikuwa wamekuja na vitu kabisa nisingeweza kukataa af ilikuwa saa kumi saa kumi nambili wanafutar
Nitaliipika,wife hayupo hapa nishapata ideaHello
Leo bhna tupike pamoja pilau la njegere
Kwanza niliandaa vitu vyangu mapema kabisa
Nikaanza na kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya hapo nikaweka kitunguu swahumu
View attachment 3284091
Baada ya hapo nikaweka nyama iliochemshwa nikaweka
View attachment 3284099
Kisha nikaweka kiungo cha pilau
View attachment 3284102
Nikachanganya ipasavyo kisha nikaweka viazi na kitunguu maji
View attachment 3284107Navyo kikavikaanga kwa muda kisha nikaweka karoti
View attachment 3284114
Baada ya hapo navyo nikachanga kuikaanga karoti nikaweka nyanya nyanya kwenye pilau inaleta radha mzuri pia rangi ya chakula kinakuwa pia nzuri
View attachment 3284126
Nyanya haitakiwi kuiva sana nikaweka mchele mchele usioshe mwanzo osha baada ya kuanza kupika kuna wengine wanaosha mchele kabla ata kuandaa mahitaji inapelekea mchele kukatika
View attachment 3284138
Baada ya hapo nikaweka supu ya nyama unaweza tumia maji ya kawaida ila mimi napenda kutumia supu
View attachment 3284141
Basi baada ya hapo nikafunika kuacha maji kauke ili niweke njegere baada ya kuona maji yamekauka nikaweka njegere
View attachment 3284151
Kisha nikafunika epuka kukologa kologa kuna watu wakipika watakologa kologa mpaka pilau linaonekana umetumia mchele wa chenga na kusingizia mchele mbaya la usikoroge basi baada ya muda nikafunua ili kuzichanganya
View attachment 3284160
Na nilipoona zimeiva vizuri nikaipua baada ya kuzichanganya niliziacha jikoni kwa muda
View attachment 3284164
Mnakaribishwa wotee nikatengeneza na kachumbari yangu hiyo
View attachment 3284171
Karibuni kwetu
View attachment 3284174
Weekend hiiWali wa kimoroko.
Mtamu sana.
Nausubiri
NdioKwahiyo wamekuja kuomba uwapikie🧐
Mfanyie suprise siku anarudi anakuta umempikia vizuriNitaliipika,wife hayupo hapa nishapata idea
SawaWeekend hii
Ratiba yangu ngumu san wew huiwezKwahiyo wamekuja kuomba uwapikie🧐