Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #41
Duh itakuwa kapigwaNjegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisi
Duh itakuwa kapigwaNjegere hazikuwiva nusura apasuliwe nahisi
KaribuHatari sana..
Hajapigwa mumewe hunogewa zaidi na yeye kuliko njegere.Duh itakuwa kapigwa
Hapana..sijajisikia vibaya kabisa maana najua sababu ni nini.Hujajisikia vibaya umejikunja jikoni halafu mzee kaishia kuonja tu? 😥
Ooh! Sikufikiri kama unauliza.Nauliza,kwani shimba ni SIMBA.
Alone marafiki wanapitaga kupiga sogaNaziona njegere zileeee😄😄😄. Hivi mkuu unaishi na nani ambao huwa wanafaidi mapishi yako?
Mimi hapa nimefuata pilau la njegereNa huku umenifuata sitaki kukuona!
Najua utoniangushaOk,siku nitatoa kitu utashangaa kama ni mimi boya mwanafunzi
Wanafaidi sanaAlone marafiki wanapitaga kupiga soga
NgorongoroNi mbuga gani?
🤝🤝Hapana..sijajisikia vibaya kabisa maana najua sababu ni nini.
Huwa nakwazika pale mtu katoka zake huko kashiba anafika nyumbani badala akwambie ameshiba anaacha unaingia jikoni kumwandalia msosi halafu anadonoadonoa, ukimuuliza anasema alipita mahali akanywa supu.
Kwanini asiseme tangu amefika ili usisumbuke kumuandalia? Hiyo inakera
Kabisa mkuuNajua utoniangusha
Kaanza mukwala,ashushe vitu.Najua utoniangusha
Karibu ukulePilau linaita Maasha'Allah
Sawa.Ngorongoro
Hapana ya Ngo’mbeMkuu hiyo Nyama ni ya Twiga ?
SanaaWanafaidi sana
Nasubiri hapa kuonaKabisa mkuu
Tumpe muda kijanaKaanza mukwala,ashushe vitu.
La mama kumbe huwa unanimind dah ntakuwa nasema from today.Hapana..sijajisikia vibaya kabisa maana najua sababu ni nini.