Pilau la njegere

Pilau la njegere

Jamaa uko vzr,,,, huo mchele ni kiasi gani ? Nyama je ? ,,,, !!!!!



Mm pilau napenda nyama ipikwe roast pemben, kama nyama ni nyingi kwenye pilau inawekwa kdg nyingine inaenda kwenye roast ,,,, ! Hapo ukute ushaindaa kachumbari ipo kwenye fridge inapata baridi,,,, ukimaliza unshushia coke/peps barid sana,,,,, Oya !!!!!!!!
 
Hapana..sijajisikia vibaya kabisa maana najua sababu ni nini.
Huwa nakwazika pale mtu katoka zake huko kashiba anafika nyumbani badala akwambie ameshiba anaacha unaingia jikoni kumwandalia msosi halafu anadonoadonoa, ukimuuliza anasema alipita mahali akanywa supu.
Kwanini asiseme tangu amefika ili usisumbuke kumuandalia? Hiyo inakera

Alijiongeza akala kitaa sababu alijua njegere mbichi.
 
Jamaa uko vzr,,,, huo mchele ni kiasi gani ? Nyama je ? ,,,, !!!!!



Mm pilau napenda nyama ipikwe roast pemben, kama nyama ni nyingi kwenye pilau inawekwa kdg nyingine inaenda kwenye roast ,,,, ! Hapo ukute ushaindaa kachumbari ipo kwenye fridge inapata baridi,,,, ukimaliza unshushia coke/peps barid sana,,,,, Oya !!!!!!!!
Nusu na nyama nusu
 
Hello

Leo bhna tupike pamoja pilau la njegere

Kwanza niliandaa vitu vyangu mapema kabisa
Nikaanza na kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya hapo nikaweka kitunguu swahumu
View attachment 3284091
Baada ya hapo nikaweka nyama iliochemshwa nikaweka
View attachment 3284099
Kisha nikaweka kiungo cha pilau
View attachment 3284102
Nikachanganya ipasavyo kisha nikaweka viazi na kitunguu maji
View attachment 3284107Navyo kikavikaanga kwa muda kisha nikaweka karoti
View attachment 3284114
Baada ya hapo navyo nikachanga kuikaanga karoti nikaweka nyanya nyanya kwenye pilau inaleta radha mzuri pia rangi ya chakula kinakuwa pia nzuri
View attachment 3284126
Nyanya haitakiwi kuiva sana nikaweka mchele mchele usioshe mwanzo osha baada ya kuanza kupika kuna wengine wanaosha mchele kabla ata kuandaa mahitaji inapelekea mchele kukatika
View attachment 3284138
Baada ya hapo nikaweka supu ya nyama unaweza tumia maji ya kawaida ila mimi napenda kutumia supu

View attachment 3284141
Basi baada ya hapo nikafunika kuacha maji kauke ili niweke njegere baada ya kuona maji yamekauka nikaweka njegere
View attachment 3284151
Kisha nikafunika epuka kukologa kologa kuna watu wakipika watakologa kologa mpaka pilau linaonekana umetumia mchele wa chenga na kusingizia mchele mbaya la usikoroge basi baada ya muda nikafunua ili kuzichanganya
View attachment 3284160
Na nilipoona zimeiva vizuri nikaipua baada ya kuzichanganya niliziacha jikoni kwa muda
View attachment 3284164
Mnakaribishwa wotee nikatengeneza na kachumbari yangu hiyo
View attachment 3284171
Karibuni kwetu
View attachment 3284174
Hapa ndoa tutasubiri sana mpwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom