Ndio asilimia kubwa wa vijana wa chadema hawaendi hoja kwa hoja wao ni matusi na kejeli ndio hoja zao na wanataka chochote wanachosema wao usipinge unakuwa tayari adui na hii yote wanaiga viongozi waoBahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiamini
Na hii ndio bahati mbaya kubwa iliyokikumba chadema. Vijana wengi wamejielekeza kwenye matusi na maneno ya shombo kushabikia upuuzi. Wenye akili wamekaa wametulia hawataki kujihusisha na upuuzi
Nilidhani najibishana na mtu kumbe nili overlook! Samahani sana, Mimi sio wa mijadala ya aina hiyo
Unachokifanya hapa ni kujaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho
Nimekuonesha true feeling niliyonayo about your mtu....Bahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiamini
Hawataki kufata ukisemacho...convince them kama unaweza,huwezi....Na hii ndio bahati mbaya kubwa iliyokikumba chadema. Vijana wengi wamejielekeza kwenye matusi na maneno ya shombo kushabikia upuuzi. Wenye akili wamekaa wametulia hawataki kujihusisha na upuuzi
Thats not my fault...Nilidhani najibishana na mtu kumbe nili overlook! Samahani sana, Mimi sio wa mijadala ya aina hiyo
Says who?Wewe?Unachokifanya hapa ni kujaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho
Ili iweje?Wewe pamoja na wasanii wenzio...
ImekuchomaMasikini dj!
Ila cha muhimu ameshajipigia bilion 8 akawekeze kwenye mboga mboga tu kule marangu
Huu ni wakati wa kujichuja kati ya mchele na chuya, wadhaifu wataonekana CDM iko pale pale!!Upuuzi mtupu mmekaririshwa ka mazombie utafikiri Mbowe anawamegea wake zenu
Uchafu unajitoaaaMpaka huo uchafu umalizike kujichuja cdm inatabaki na mwenyekiti tu atakuwa mrema wa pili
Hawa madogo hawamjui muro vzrMuro si mtu wa kununuliwa, pitia hoja zake utamuelewa na kama humfahamu jitahidi umfahamu
This is cheap politicsDiwani Muro kajitoa na kuelekea NCCR. Msikilize anavyomkoromea Mbowe na Halima Mdee.
CCM hawajawahi kumkubali muroWewe ni aina ya kina mdude tu! Humfahamu mtu unayemsema
Muro aligombea udiwani kwasababu ya UKAWA! Tangu yuko CCM hakuwahi kuwaza kugombea udiwani
Alikuwa ni candidate sahihi wa kinondoni mwaka 2015 lakini CUF wakalalamika ndio ikabidi aachiwe Mtulia
Na kama hujui miaka yote akiwa CCM alikuwa anahujumiwa kwenye kura za maoni kupitishwa kuwa mgombea wa kinondoni
Aligombea udiwani kama sehemu ya kumpoza baada ya kukubali kumuachia Mtulia ubunge na kuendelea kubaki kwenye siasa na mahesabu yalikuwa aje kuwa meya wa kinondoni
Lakini kwa usaliti uleule wa viongozi aliousema wakamsaliti wakampa Boniface (my class mate) na kwasababu alikuwa mgeni kwenye chama na aliuamini uwezo wa Boniface, alikubali na akamsapoti
Ubungo na Kinandoni vilipogawanywa, akagombea umeya wa kinondoni lakini chama hakikumpa sapoti stahiki hadi CCM wakaweza kuiba kura (usaliti wa viongozi) na hata mahakamani walienda kutimiza wajibu tu
Kwa kifupi, Chadema ni chama kilichopendwa na chenye mvuto wa aina yake kwa vijana. Lakini wanachadema ndio watakayoiua chadema
Kuna watu ndani ya chadema wanahisi wao ndio chadema na chadema ni wao hivyo hawako tayari kuona mwingine anakua zaidi yao
Kazi aliyoifanya Mbowe ya kuwakuza kisiasa kina Mnyika, Zitto, Boniface na wengine siku hizi hata haipo tena
Kila anayetaka kuibuka wanampiga kwenzi abaki chini ili wao wabaki juu na kushangiliwa kila siku
Kifupi baadhi ya waliokuzwa na Mbowe hawahangaiki kuibua vipaji badala yake wanahangaika kutafuta mashabiki wa kuwapigia makofi na kutukana wanaowakosoa. Wanaogopa kuibua vipaji kwasababu wanaogopa kupewa challenge. Kutwa kucha wanahangaika kutengeneza mashabaki mwisho wa siku chama kitakosa wajenga hoja na yatakuwa yale yale ya ndioooo ambayo tunayaona CCM
Akisema Mbowe itakuwa ndioooo, akisema Mdee, Ndioooo, akisema Lema, Ndioooo, akisema Bulaya Ndioooo....akija wa kuhoji kilichosemwa mashabiki wazomee! Hii sio siasa! Huu ni ufuasi
Lazima kama Baba, Mbowe akae chini ajiulize na abuni mbinu mpya ya kuendeleza chama
Muro hajawahi na hatawahi kuwa na njaa ya pesa Kama unavyodhani labda afilisiwe!
Ni bahati mbaya kudhani kila anayeingia kwenye siasa anatafuta hela
Ungesema anapoteza muda na hela bure kwenye siasa ningekuelewa
1) Mara baada ya kutoka ikulu kuonana na Magufuli, ambapo Magufuli alimwalika , Mbatia alifanya ziara Mbeya, ambapo alipokewa na Mkuu wa Mkoa Mbeya. Mpinzani kabisaaa, apokewe na mkuu wa mkoa ? Huyo siyo mpinzani, bali mjumbe wa rais Magufuli.Thibitisha madai yako.
Kwahiyo vyama vya siasa imekuwa vigoda vya majungu,Mwandishi kero ya nchi hii sio CHADEMA kero ni malengo timilifu ya ya raia wa nchi hii,Hata chadema ikfa leo maisha yataendelea na yeyote atakae ongoza hatakuletea sembe na mchele,mazingira ya nchi sii rafiki kwa aina hii ya siasaHawa madogo hawamjui muro vzr
Mzee Wa infosys
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huu ni uthibitisho uchwara.1) Mara baada ya kutoka ikulu kuonana na Magufuli, ambapo Magufuli alimwalika , Mbatia alifanya ziara Mbeya, ambapo alipokewa na Mkuu wa Mkoa Mbeya. Mpinzani kabisaaa, apokewe na mkuu wa mkoa ? Huyo siyo mpinzani, bali mjumbe wa rais Magufuli.
2) Magufuli mwenyewe amemsifia Mbatia kwamba anamwandikia barua nyingi za " kumtiamoyo". Siyo kazi ya mpinzani kumtia moyo rais. Kwa mujibu wa katiba, wana jukumu la kutoa njia mbadala, kukosoa na kuwania kuingia madarakani. Angalau ACT na CHADEMA wametekeleza hayo. Hao ndio wapinzani wa ukweli
So what?This is cheap politics
Mtahenyeka sana washamba ninyi wa madaraka wa awamu ya hovyo. Mbowe sio Chadema na Chadema sio Mbowe. Mlichukua Slaa mkasema imekufa cha ajabu mpka Leo mnaweweseka tuu na Chadema kula hamli kulala hamlali na hata kunya hamuwezi.
Si ushangalie kwani kuna shida!??Mtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linazidi kuporomoka.
Kwani nani kasema kuna shida?Si ushangalie kwani kuna shida!??