Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Unapotaka kupata chuma Bora na imara ni lazima kipitishwe kwenye tanuru kichomwe kiyeyuke KUTOA takataka,,, wacha Manali yatoke Kibaki chuma halisi,,,CHADEMA SIO MBOWE ,, TUTAPATA FUNZO BAADA YA OCTOBER ,,NYINYI MNAOUNGA JUHUDI MTAKUA WAPI?..
 
sarakasi za uchaguzi zinaendelea

kila uchaguzi ukikaribia ni vitimbi,kuhujumiana,kusalitiana na kupeana kesi huwa vitu vya kawaida..

watawala wanaiogopa CHADEMA kuliko hata wanavyoigwaya COVID ambayo inayoua....wanaishia kutumia rasilimali za umma na nguvu nyingi kuihujumu na marazote wanaangukia pua.! wanafeli
 
Eti unapiga bomu mochwari halafu unajisifu umeua

Kumbe corana ilikuwa imetusahaulisha kabisa haya madudu
 
Najiuliza. Huko CCM na NCCR–MAGEUZI wanakokimbilia hao wakimbizi janja kutakuwaje baada ya uchaguzi hasa wakati wa kupanga mikao ya ndani? Bila shaka mikanyagano itakayotokea humo haitakuwa ya kitoto manake wote hao ni modeli moja spesho iliyotengenezwa awamu hii isiyofiti pengine popote. Yetu macho.
 
Hapa magu ananiangushaga sana mbona anatumia nguvu nyingi kwa opposition hajiamini 🙁 🙁
 
Je mikakati ya kukifuta kwenye daftari bado tu?
Je kwa nini kila siku Mbowe, Mbowe? Inaonekana huyo jamaa ni genius wa zama hizi.
Si nilisikiaga kitafutwa kufikia 2020.
 
Wadau wakibaki wawili mnishtue!!!!naenda zangu kununua BG
 
Back
Top Bottom