Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,310
kati ya maeneo ambayo yamepata jibu la milele ni arusha, walikuwa kwenye njia panda, kwasababu wanampenda sana lema, na wanampenda sana lowasa. lema yuko chadema na lowasa alikuwa ccm, sasa wakawa wanashindwa ni namna gani wafanye, kuanzia leo, lowasa na lema wapo chadema, solution imepatikana arusha yote ni chadema. jimbo hilo tumejihakikishia. kilimanjaro, iringa, mbeya, dsm na maeneo mengi, chadema tu. mwaka huu mtalia hadi machozi meusi.
Hatareeeeeeee,hata msalani na the big show wamehamia cdm tangu jana