Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

Think big...in politics it can be anything...!
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

Hivyo ndivyo siasa inavyofanywa hasa siasa za upinzani!!
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

Acha game iendelee tutauza hadi nollwody
 
Huna akili na wala huwezi kujua ukweli. Arusha chadema wakisimamisha sanamu inashinda. Hujaifahamu vizuri Arusha mkuu njoo ujionee arusha tunakula ccm tunalala chadema..!
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

mbona unalialia, kwani we umejipangaje???
 
mwaka huu mtalia hadi machozi ya kijani nawaambieni. na kama ni mafisadi, anzeni kutafuta nchi ya kukimbilia, na nchi za kigeni ziko upande wa ukawa hivyo mkipeleka hela huko ulaya watatuhifadhia tu na kuzirudisha tukiingia madarakani, labda mpeleke huko iran na saudia mlikozoea kupeleka.
 
Mungu hapendi ufisadi.Mungu hapendi uongo!

huyu jamaa chizi kweli naona anafikiri kwa makamasi badala ya ubongo eti Mungu hapendi ufisadi wala uongo alafu anaitetea ccm
huwezi tofautisha ufisadi na ccm....na kama Mungu hapendi ufisadi basi pia hapendi ccm
 
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?

Shule za kata hizi.....
 
Back
Top Bottom