Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,356
Itakuwa alishamaliza shida yake kwingine ama alisahau. Mara ngapi tunamuambia mtu nitakupigia jioni halafu tunasahau? Au shida inakuwa solved kabla?
Na kama ilikuwa simu ya mazaga ile nusu saa muheshimiwa alikua hana amani rohoni.