Pigania ndoa yako si michepuko ya mumeo

Pigania ndoa yako si michepuko ya mumeo

Yani unakataa kuokewa kisa dativa...pole sana ila funzo hilo limefika kwa jamii
 
Amen.....[emoji120]
Ama kwa hakika nimepata upako kwa neno la kujenga na kutia moyo, nimejikuta natamani (.........) apitie hapa asome uzi huu
Sikujua mbaba mbeya hivyo. Sasa wewe mwenyewe kwanini usibadilike? Kuna ufahari gani wadada wakigombana kisa ushetwani wa excuse of a man
 
Sema mimi mwenyewe nilikuwa MALAYA usiite big spoon ukimaanisha koleo.
We dada wewe......

Kwanza sijkumisi kiviiile sem tu moyo wangu umeenda mbio nlipokusoma.

Kwanini lakini?
 
Sikujua mbaba mbeya hivyo. Sasa wewe mwenyewe kwanini usibadilike? Kuna ufahari gani wadada wakigombana kisa ushetwani wa excuse of a man
Naomba nikupuuze tafadhali, kwani hakuna unalolijua zaidi yaku conclude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom