Pigania ndoa yako si michepuko ya mumeo

Pigania ndoa yako si michepuko ya mumeo

Teh mnyaki mimi kwanza pride+ego yangu hainiruhusu kupigania mwanaume kwa mdomo au ngumi, Never and and it shall be my portion. Nilishashindwa zamani. Hili Tuliache

Mke mwema, kitu chema, mke wa viwango, hapigani na michepuko ya mumewe. Anaanzaje kwa mfano, anajua thamani yake (ametoka kwa Bwana), anaanzaje kupigana na kahaba shimo refu? Tofauti ya mke na hawara iko wapi? Mumeo kashavutwa na kahaba shimoni, so mke relax, wewe ndo wakumtoa kule shimoni, ukimbwela na wewe unavutwa shimoni mchepuko unashinda. Keep in mind kuwa mumeo hana hofu ya Mungu au imepotea, hajamuogopa Mungu, atakuogopa wewe kwa sababu ni mkali sana? Afu ukute huo mchepuko ni wa kinyaki/ kikurya utakula nakozi na mume asirudi teh

Umeshajua mumeo ana mchepuko, and unataka kumkomboa mumeo, umeongea naye na unaona masikio kaziba, PIGA GOTI KWA MUNGU period (Vita vyetu si juu ya damu na nyama). Mungu akamuokoe dhidi ya mafisi Yenye udenda huko nje na ampige upofu wa kiroho asione wengine huko nje ila mkewe, above all akamtie ile hofu yake. Kuanza kupigana kama hutokaribisha kichaa cha ndoa sijui. Afu kupigana kunaweza kuwa temporary solution. Kesho hali ikitulia mumeo anahamia kwa mwingine unaanza tu ndondi, hujapata kichaa kweli? Au ataenda kuchepuka kwa siri na usijue, utajua siku ukiletewa watoto au magonjwa. Kuwe mke mwema kweli, mke wa ratiba( Mungu, Familia, Kazi) afu uone kama mume hajarudi na wewe kuepuka uchizi

Ujue michepuko haipo pale kunogesha ndoa yako bali kuharibu zaidi, unavyoishi kwa amani usidhani inapenda. Ndo maana unakuta mke hujui kama kuna lolote linaloendelea, lakini mchepuko utakutafuta hadi ujue kama ana-exist, ukichanganyikiwa ndo faraja yake ilipo. Wewe u ignore afu muoneshe kuwa wewe mke wa viwango. Kwanza imagine unamchokoza mtu wee afu hakujibu lolote, unamtukana still kakaa kimya. Kama una ufahamu mzuri lazima utashtuka. So kupigana na michepuko me kwangu sioni kama ni sawa mara nyingi. Kuna hata ile mume anarudi unamuwakia hatari (sometimes usijue kwamba mwenzio kapewa kinyama cha K huko teh), yani ukiongea tu ndo mume anahama na nyumba kabisa eti una makelele sana, kumbe ufahamu ushatekwa long maskini, umepata nini? Ulilipa gharama kuingia kwenye hiyo ndoa, lipa tena gharama kuhakikisha mumeo anarudi kwenye mstari.
I owe u nothing than respect luv
Kama hujaolewa nakuombea kwa mungu vitu viwili
1st akupe bwana Mwenye maono kama hayo
2nd akukeep positive like that uje kua mke na mama bora
U deserve better
 
Umeongea vizuri Heaven Sent lakini mmh ila sista Mungu huyo huyo kasema anatupigania na sisi tunajipigania pia, so combine vyote. Yaani mlilie Mungu wako huku umeishaudunda mchepuko na mume wako udili naye kivyako, yaani peleka majeshi yote vitani, ndo point yangu
Ukigombana na michepuko tell me ww na hawara/mala.ya huyo tofauti yenu itakua nn?
Show u r man how worth u r na umefunzw kwenu
 
Ndio sasa uache kutuombea mabaya sisi watu wa migombani... yani mahandsome flani hivi amazing. You know woram seyyying???
Heheheh mpwa inabidi nikurudishe milembe wallah
U knw woram seyyying??
 
Mhhh hii story inatufundisha nini,..naona inahimiza kuwa Malaya mana kuna mibaraka huko na kumdespise mke aliolewa..,anyway
U have chose to see the bad side of it
Ubongo wa binadamu unachagua cha kuamini so I understand
 
U have chose to see the bad side of it
Ubongo wa binadamu unachagua cha kuamini so I understand
Seen the good side of it too abt moving on,dealing na mume nk,but can't help bt see the blessed husband snatcher heavily praised ..
 
Ukigombana na michepuko tell me ww na hawara/mala.ya huyo tofauti yenu itakua nn?
Show u r man how worth u r na umefunzw kwenu
Wanaume bana as if ukiwa cheated on na mkeo you wilk keep ur cool and just pray...hahahahah
Men js can't handle the thought ya kuishi na mwanamke akishacheat sembuse hapa mnataka huyu married woman aweje??kawa cheated on,yet asimcomfront aliemuibia mume abaki kusali tu, plsss....acheni double standards wakuu
 
Tusemage ukweli jmn,sawa Mungu ana sababu zake kumbariki mwizi wa mume but cut the married woman some slack...ameonewa hapa
 
I owe u nothing than respect luv
Kama hujaolewa nakuombea kwa mungu vitu viwili
1st akupe bwana Mwenye maono kama hayo
2nd akukeep positive like that uje kua mke na mama bora
U deserve better
Jamani nashukuru wapenzi wangu, Glory be to God. Tunapewa vitu vyema si kwa sababu tunastahili sana, ila ni kwa neema tu ya Mungu. Naamini Mungu atajibu sawasawa na maombi yetu, mbarikiwe mnoo.
Yeah huyo mdada yuko vizuri sana wala si uongo
 
Wanaume bana as if ukiwa cheated on na mkeo you wilk keep ur cool and just pray...hahahahah
Men js can't handle the thought ya kuishi na mwanamke akishacheat sembuse hapa mnataka huyu married woman aweje??kawa cheated on,yet asimcomfront aliemuibia mume abaki kusali tu, plsss....acheni double standards wakuu
Hahaha wao wakicheat ni "no one is perfect", kacheat wewe begi lako utalikuta barabarani. Kwao uzinzi ni kawaida tu, but kwetu uzinzi ni dhambi isiyosameheka
 
Tusemage ukweli jmn,sawa Mungu ana sababu zake kumbariki mwizi wa mume but cut the married woman some slack...ameonewa hapa
Hajaonewa ila alichoose kujionea
Unajua tied /upo kwenye mahusiano na mwanaume but all u think and afraid is third part,have u married her?
Mkiambiwa msideal na third part ila deal na mumeo mnaona ni ushauri wa kimaskini now unaona mungu kamuonea the wife duuu
Msiingie kwenye ndoa kama hamko ready kiakili na kiroho
 
Binamu yangu ambae anauzuri wa uaridi ameolewa, yeye na mume wake wanapendana. Ilitokea siku moja nilikuwa nao, simu iliita na shemeji alikuwa kwenye simu nyingine, alimumbia binamu apokee ile simu, binamu kupokea ilikuwa sauti ya mwanamke, yule mwanamke alitaka kukata simu, binamu alimfahamisha nimepokea kwakua mheshimiwa yuko kwenye simu nyingine. Yule dada alisema basi mwambie mimi fulani, binamu alimjibu wala usiwe na wasiwasi piga tena baada ya nusu saa, haya mambo ya 'she said, he said' ujumbe hautafika vizuri, raha ya ujumbe umfikie mlengwa utakavyo. Baada ya nusu saa hakuna simu ilipigwa tena.
 
Honestly, what would u do if you catch ur wife cheating on u??
Utaendelea na ndoa? msiingie kwenye ndoa kama hamko ready kiakili na kiroho
 
Binamu yangu ambae anauzuri wa uaridi ameolewa, yeye na mume wake wanapendana. Ilitokea siku moja nilikuwa nao, simu iliita na shemeji alikuwa kwenye simu nyingine, alimumbia binamu apokee ile simu, binamu kupokea ilikuwa sauti ya mwanamke, yule mwanamke alitaka kukata simu, binamu alimfahamisha nimepokea kwakua mheshimiwa yuko kwenye simu nyingine. Yule dada alisema basi mwambie mimi fulani, binamu alimjibu wala usiwe na wasiwasi piga tena baada ya nusu saa, haya mambo ya 'she said, he said' ujumbe hautafika vizuri, raha ya ujumbe umfikie mlengwa utakavyo. Baada ya nusu saa hakuna simu ilipigwa tena.
Huyo binamu yako naye asiwe na mawazo ya kuhisi hisi bana!! sasa alikubalije kupokea kama hataki kufikisha ujumbe? Kuna shida nyingine (hata kama siyo za mapenzi) hutaki kumwambia hata secretary unataka kuonana na boss mwenyewe
 
Back
Top Bottom