Alimpa uwanja afikishe ujumbe mwenyewe hata kama ni shughuli za ofisi tena binamu hapo ndiyo hahusiki kabisa, lakini mpigaji alishindwa kurudisha ujumbe. My take, uungwana unasuta, sasa kama ilikua simu ya kheri mbona alishindwa kupiga?Huyo binamu yako naye asiwe na mawazo ya kuhisi hisi bana!! sasa alikubalije kupokea kama hataki kufikisha ujumbe? Kuna shida nyingine (hata kama siyo za mapenzi) hutaki kumwambia hata secretary unataka kuonana na boss mwenyewe
No offence but I will deal with my wife and not the guyHonestly, what would u do if you catch ur wife cheating on u??
Utaendelea na ndoa? msiingie kwenye ndoa kama hamko ready kiakili na kiroho
Alihisi mke bado yuko around atambania shida yake kwa mumewe, akaona ampigie tu siku nyingine. Nawaza waza tu lakiniAlimpa uwanja afikishe ujumbe mwenyewe hata kama ni shughuli za ofisi tena binamu hapo ndiyo hahusiki kabisa, lakini mpigaji alishindwa kurudisha ujumbe. My take, uungwana unasuta, sasa kama ilikua simu ya kheri mbona alishindwa kupiga?
Alihisi mke bado yuko around atambania shida yake kwa mumewe, akaona ampigie tu siku nyingine. Nawaza waza tu lakini
Hahaaaaa naona kaamua kuishi stress free life kama mrsfulanihaha ha. Binamu yangu aliniambia yeye wala haumizi kichwa kuaza jamaa yuko wapi, tena aliniambia wakati unawaza mwenzako huenda analishwa chakula huko aliko. Aliniambia mradi niko ndani, nimekula, wanangu wana afya tena wamelala muache huko, atarudi tu.
Ujue wangekuwa wanakaa chini wakaweigh pros na cons za kucheat, sijui kama wangeendekeza uzinzi. Unfortunately jamii yetu ndo imeshawaaminisha kuwa cheating ni lazima, so hata asipopata reason ya kucheat, atacheat (no justification ya cheating though). Kwa hali hiyo "cheating is just a State of mind", ukishajiaminisha kuwa cheating ni lazima, possibility ya kucheat ni 99.9%. Afu hawajui tu how difficult it is kurudisha trust once mtu amecheat. Kusamehe unasamehe hata bila kuombwa msamaha, but kurudisha mambo kama yalivyokuwa before ni kazi mno(kumtrust again ni issue mno...trust is earned).If ur a man out there cheating while u got a loyal wife/lady by you ,ts js not fair to her..bruises take damn too long to heal rather never heal,
Ts hard to recover,Ujue wangekuwa wanakaa chini wakaweigh pros na cons za kucheat, sijui kama wangeendekeza uzinzi. Unfortunately jamii yetu ndo imeshawaaminisha kuwa cheating ni lazima, so hata asipopata reason ya kucheat, atacheat (no justification ya cheating though). Kwa hali hiyo "cheating is just a State of mind", ukishajiaminisha kuwa cheating ni lazima, possibility ya kucheat ni 99.9%. Afu hawajui tu how difficult it is kurudisha trust once mtu amecheat. Kusamehe unasamehe hata bila kuombwa msamaha, but kurudisha mambo kama yalivyokuwa before ni kazi mno(kumtrust again ni issue mno...trust is earned).
Na inategemea sasa huyo mtu mwenyewe anavyojitahidi kuearn your trust back. Ndo ukute yule wa leo kwa Salama, kesho kwa Amina, kesho kutwa kwa Eva. Kazi ipoTs hard to recover,
Hahaha mke mwema ameshakomaa akili hapo. Daah inasikitisha lakiniHahaaaaa naona kaamua kuishi stress free life kama mrsfulani
Hapo ndio ubinafsi wa wanaume unapoonekana...Hahaha wao wakicheat ni "no one is perfect", kacheat wewe begi lako utalikuta barabarani. Kwao uzinzi ni kawaida tu, but kwetu uzinzi ni dhambi isiyosameheka
Exactly sistaUjue wangekuwa wanakaa chini wakaweigh pros na cons za kucheat, sijui kama wangeendekeza uzinzi. Unfortunately jamii yetu ndo imeshawaaminisha kuwa cheating ni lazima, so hata asipopata reason ya kucheat, atacheat (no justification ya cheating though). Kwa hali hiyo "cheating is just a State of mind", ukishajiaminisha kuwa cheating ni lazima, possibility ya kucheat ni 99.9%. Afu hawajui tu how difficult it is kurudisha trust once mtu amecheat. Kusamehe unasamehe hata bila kuombwa msamaha, but kurudisha mambo kama yalivyokuwa before ni kazi mno(kumtrust again ni issue mno...trust is earned).
He heee hata mie nisingepiga. Huyo mke alionyesha ustaarabuBinamu yangu ambae anauzuri wa uaridi ameolewa, yeye na mume wake wanapendana. Ilitokea siku moja nilikuwa nao, simu iliita na shemeji alikuwa kwenye simu nyingine, alimumbia binamu apokee ile simu, binamu kupokea ilikuwa sauti ya mwanamke, yule mwanamke alitaka kukata simu, binamu alimfahamisha nimepokea kwakua mheshimiwa yuko kwenye simu nyingine. Yule dada alisema basi mwambie mimi fulani, binamu alimjibu wala usiwe na wasiwasi piga tena baada ya nusu saa, haya mambo ya 'she said, he said' ujumbe hautafika vizuri, raha ya ujumbe umfikie mlengwa utakavyo. Baada ya nusu saa hakuna simu ilipigwa tena.
Ujue inasikitisha kuona mtu anang'ang'ania kabisa kuwa dhambi fulani ni haki yake ( we are all sinful, but at least hata nafsi zetu ziwe zinatusuta na kuona aibu kwa maovu yetu).Hapo ndio ubinafsi wa wanaume unapoonekana...
Hahhaaaa nyie nina damu yenu siwezi kuwaombea mabaya......first born ana damu ya migombani.......Ndio sasa uache kutuombea mabaya sisi watu wa migombani... yani mahandsome flani hivi amazing. You know woram seyyying???
Orayt... second born shurti awe na damu yangu, right?Hahhaaaa nyie nina damu yenu siwezi kuwaombea mabaya......first born ana damu ya migombani.......
Kujisaidia kwangu ni ile namlilia na kumkumbusha Mungu kwamba Mungu mkumbuke mume wangu, akaache njia zake potofu etc. Namkumbusha hapo na tunahojiana, sio kwamba nimekata tamaa.
Ngumi zitampa hofu yangu (of which I doubt pia) au hofu ya Mungu? Coz mwisho wa siku nataka mume wangu awe na hofu ya Mungu, that's it. Afu utapigana na wangapi, na wakati nyie kucheat ni nature yenu eti nimesikia teh? Na wengine miili yenyewe kama HS utaenda huko wewe ndo ubondwe sasa. Mishangingi/ Vibinti vyenyewe vya siku hizi, utarudi sura imechanwa viwembe + me naona ni Kujidhalilisha zaidi.
Hahaha babu sasa unataka kumuovatake nduguyo?Orayt... second born shurti awe na damu yangu, right?
Kizuri mtu hula na nduguyeHahaha babu sasa unataka kumuovatake nduguyo?
Binamu yangu ambae anauzuri wa uaridi ameolewa, yeye na mume wake wanapendana. Ilitokea siku moja nilikuwa nao, simu iliita na shemeji alikuwa kwenye simu nyingine, alimumbia binamu apokee ile simu, binamu kupokea ilikuwa sauti ya mwanamke, yule mwanamke alitaka kukata simu, binamu alimfahamisha nimepokea kwakua mheshimiwa yuko kwenye simu nyingine. Yule dada alisema basi mwambie mimi fulani, binamu alimjibu wala usiwe na wasiwasi piga tena baada ya nusu saa, haya mambo ya 'she said, he said' ujumbe hautafika vizuri, raha ya ujumbe umfikie mlengwa utakavyo. Baada ya nusu saa hakuna simu ilipigwa tena.