Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu

Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu?


  • Total voters
    121
a20e0d851c774672bc7cd5e479e6bf78.jpg
 
huyu striker tume msajili kwa dau kubwa ghafla amejifanya yeye ndio anajua kuliko time nzima na washabiki
 
Amechemka sana alingia kwa kukariri sasa kaishiwa hana jipya na ni mjuaji anaifanya timu kama mali yake binafsi. Kama atacheza milele, wachezaji wenzake anawafanya kama watumwa wake. Sasa ameanza kugawa mipira kama zawadi. Mafisi ni mafisi.
 
"Ukienda Roma, Ongea Kama Waroma".. Naona humu mnaongea Kiroma.

Aaaaha... Yule straika galasa kinoma mazee
 
Kura yangu ni Kiungo mkabaji anapwaya kwa chuki zake binafsi zisizo na maslahi kwa timu yetu.
 
Siku hizi huyu straika anakosa hata penati ambazo ndo zilimpa umaarufu
 
Boss Kkimondoa, unaweza kuwa sawa au sio sawa, ila acha nikupe mifano miwili, Hope utanielewa.

Mfano wa Kwanza ni Mwanaume unapompa Mwanamke mimba, kuna Miezi 9 ya kusubiri uitwe Baba.

Mfano wa Pili, Mkulima anapopanda Mbegu, kuna muda wa kusubiri mpaka mavuno yaje.

Maana ya mifano yangu, kuna kipindi cha Kusubiri ili kujua hatima ya jambo husika.

Hope umenielewa.
Mh!
 
Kuna wengine tulisema yule alikuwa straika mzuri kwa sababu alifunga sana magoli ya penalt.
Pia straika huyu huwa ana hasira hata kipindi kike yuko mchangani mara nyingi marefarii walimpa kadi za njano au kukataa magoli yake ya kuotea.
Pia watu wanao mfaham walisema straika huwa ana roho mbaya kwao hata wanawe tu wana muogopa hali hii huathiri hata uchezaji wake kuwa ni wa rafu sana.
Sasa tume mpa nafasi acheze na kumpa ukapteni, sijui timu yetu itashindaje !!!

Usajili ujao tusikosee jamani
Mkuu hii ni mechi ya ugenini hatuwezi kutoa draw
Nnachoshangaa ni kwamba Dakika 90+ but Team pinzani haijakata Tamaa.
 
Hapa tulilambishwa garasa na msimamizi wa usajili.hatukumtaka huyu,kasimikwa kimakosa
 
Back
Top Bottom