Nakumbuka kabla ya kuanza ligi yetu kila mshabiki alikuwa na kiu kuona uongozi wa timu unamsajiri huyu straika mpya kutokana na makeke aliyokuwa anayaonyesha kwenye ile ligi ya mchangani. Cha ajabu tangu tumemsajili hajawahi hata kufunga goli
tuwaite mashabiki wa arsenal watupige semina namna ya kuvumiliaKuna wengine tulisema yule alikuwa straika mzuri kwa sababu alifunga sana magoli ya penalt.
Pia straika huyu huwa ana hasira hata kipindi kike yuko mchangani mara nyingi marefarii walimpa kadi za njano au kukataa magoli yake ya kuotea.
Pia watu wanao mfaham walisema straika huwa ana roho mbaya kwao hata wanawe tu wana muogopa hali hii huathiri hata uchezaji wake kuwa ni wa rafu sana.
Sasa tume mpa nafasi acheze na kumpa ukapteni, sijui timu yetu itashindaje !!!
Usajili ujao tusikosee jamani
Dah!!!! Na ndio timu yetu sasakiongozi wa bench la ufundi keshapewa mgao atatukumbuka mashabiki?
Hahahatuwaite mashabiki wa arsenal watupige semina namna ya kuvumilia
Tushapotezaa point kibao kwa straika huyu kukosa magoli hata malainiDah!!!! Na ndio timu yetu sasa
Tumtoee tumuingizee nani mkuu na njee wote ma straika ndo wale Wale kwa upandee wa timu hyooKashachoka huyu!
Da!!labdaa achezewee faulu ndioo atatukumbukaa japo sioni dalili tenaakiongozi wa bench la ufundi keshapewa mgao atatukumbuka mashabiki?
“It’s not the police’s job to be the judge, jury and executioner on the side of the road.”Mimi bado nina IMANI nae, mapema sana ku vote, baada ya miaka 2 na kuendelea ndio nitajua.
Acha ushambengaMagufuli endelea ivo ivo
Hongera sana serikali ya Magufuli kwa kazi tukufu kwa watanzania
Waya mkali fc-ArushaDuh hadi sasa nipo chaka sijui team gani inaongelewa hapa