Pichu yako imetoboka??


hahahahahahaaa...... We mkareee.... Halafu unaifua saa ngapi? Wakati unasubiri ikauke unavaa nini au ndio mwendo wa kuning'iniza mabilinganya?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Pichu ya Mdada mmoja machachari sana humu JF...

 

haha ha ha ha!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaa...... We mkareee.... Halafu unaifua saa ngapi? Wakati unasubiri ikauke unavaa nini au ndio mwendo wa kuning'iniza mabilinganya?


Ninaifua jioni baada ya kurudi kwenye mihangaiko.

Ni mwendo wa msuli ili KIWANDA kiingize hewa..
 
moja ya kila siku ingine ya siku kuu...
mkuu siku kuu ipi maana kuna xmass, pasaka, idi, uhuru, mikaeli na watoto, mapinduzi , muungano, saba saba, nane nane, mandela day, mei mosi, happy nyu yia, mtoto wa frika, n.k
 
silver belt ule wa muke ya muzungu, au ule kama wa VIP, mwambie fundi aweke wa ngozi bana
yap kama ya muke ya mzungu.....ngozi ntaweka siku nyingine ili iwe na muonekano tofauti...
 
yap kama ya muke ya mzungu.....ngozi ntaweka siku nyingine ili iwe na muonekano tofauti...
na we pia ni muke ya muzungu?? weekend ijayo nitakuazima nina mtoko nadhani itakua tayari
 
na we pia ni muke ya muzungu?? weekend ijayo nitakuazima nina mtoko nadhani itakua tayari
usijali itaukuwa tayari.....naipeleka kabisa kwa dry cleaner ........mim muke ya mubongo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…