Pichani mtu mashuhuri - Zawadi yangu JF leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pichani mtu mashuhuri - Zawadi yangu JF leo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 20, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Nani mzoefu wa kusoma picha atuambie huyu mtu mashuhuri anayeongozwa ni kiongozi mtarajiwa wa nchi gani barani Afrika.

  [​IMG]

  Hapa akiwasili katika ziara rasmi akikabidhiwa bunch of flours.
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mwibara!
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Kwani alienda nchi gani?
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ashakum so matusi.... Lazma jamaa walikua wanaogopa
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ni yupi kati ya aliyshika maua na mshuhudiaji? Au ndo huyo picha ya kwanza anayemfuata mwongoza njia?
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Khaa Janjaweed, kwani vijembe vile bungeni na kumkingia kifua Mr. dhaifu jambo dogo? Kwani kuna aliyefikiria Mama Kiroborobo anaweza kupenya kukalia kiti kile cha kusimamia baraza la kutunga sheria?

  Tutaambiwa sasa nchi tunataka iongozwe na maveterani.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kwanza lakini, jamaa nahisi ana shida ya macho! Mbona anatembea kama haoni?
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Pata picha rais wa nchi ndio anakagua gwaride la hesima hivyo, huu ndio ukakamavu wa mkuu wanchi unaotakiwa?
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usishangae akawa anasinzia huku anatembea.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jambo usilolijua..!!
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  jinsi alivyoshika hayo maua ni kama amemshikia huyu wa kushoto.....ishara ya kutojiamini, laiti wangelijua kashfa ya huyu bwana wasingempa heshima hii....
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama haoni au hao wanyama ndivyo walivyo.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  candid scope acha tabia ya kufananisha viumbe na watu bana.
   
 14. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kawaida yake.AMESHASINZIA tayari .
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hehehehehehehh............ Mbavu zangu mie, ni wapi huko!!.
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  aa weweeeee...cha kumbonji huyo...naona yuko wima kinoma hapo!!!lol.....
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  hivi aliyala hayo mauwa au vipi?
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Najaribu kutafakari kama huyu bwana ndiye angekua ni Raisi halafu picha yake iko kwenye Noti sijui ingekuaje!
   
 19. M

  Madoido Senior Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du handsome boi wa bingo yote
   
 20. awp

  awp JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pesa ingezidi kushuka thamani mara mia ya sasa
   
Loading...