Picha

Picha

Oremus

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
46
Reaction score
9
Naomba JF tutafakari kwa pamoja hii picha, mwenzenu sijaelewa chochote, kwa kuwa jf ni jukwaa la " Great Thinkers "naamini nitasaidiwa.
 

Attachments

  • MHESHIMIWA.jpg
    MHESHIMIWA.jpg
    116.4 KB · Views: 2,109
Hapo walipokaa ina-reflect maisha halisi ya umasikini wa mtanzania wa vijijini!!
 
Ha ha ha ha! Kweli siasa comedy. Ki ukweli huwa sipendi vitu afanyavyo Mwigulu ila comedy zake huwa zinanifurahisha sana.
 
Ha ha ha ha! Kweli siasa comedy. Ki ukweli huwa sipendi vitu afanyavyo Mwigulu ila comedy zake huwa zinanifurahisha sana.
Mkuu kwa kweli hata mimi imenichekesha sana, hasa nikimtamzama uwo uso wa uliopoteza utukufu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwenye hiyo geto hapo ni ccm damu,haumwambii kitu...
 
....hivi kweli tendwa haonagi huyu gaidi kweli...
 
Kwani siku hizi CCM nao wanavaa magwanda? Au hilo ni vazi rasmi la kamanda wa Green Guard?

Tiba
 
Back
Top Bottom