Picha za Zitto: Before and after Umra

Picha za Zitto: Before and after Umra

CHANZO

Senior Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
151
Reaction score
47
Kutoka instagram:
attachment.php

attachment.php

NDUGU ndugu zangu KATIKA IMANI naomba mnisaidie maelezo ya hii UMRA..NAWASILISHA
 

Attachments

  • WARDA.PNG
    WARDA.PNG
    172.9 KB · Views: 5,362
  • ZITO KABWE23.PNG
    ZITO KABWE23.PNG
    184.4 KB · Views: 5,304
tukusadie nini kama sio unafiq unakusumbua.. hiyo ni ibada yati ya #Zitto na Mola wake na yeye Mola wake ndo anajua kama kuna Ri3a au la na kama kuna faida au khasara.. ni Allah peke yake.. sisi unatuuliza ili iweje tumhukumu kuwa hajavuna chochote? sisi nani kwa Allah?
 
Mashallah...jazaka llahu kheri...
Bado kufanya nikaha tu...Allah akufanyie wepesi..
 
Aliempiga picha naniii, ??? Hakupoteamo kwelii maana watu wengi huko najiuliza sipati majibu
 
Na hawa wanaruhusiwa kwenda hija???,i mean wasaliti na waongo???
Hija si ndio wanasema mahala patakatifu???? Lol
 
humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini?na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?

Jionee mwenyewe:

k1.jpg

This what we usually get to see when the King of Saudi Arabia visits the Kaaba in Makkah

drawing.jpg

A drawing of the layout of the Kaaba
kaaba-plan.jpg

Plan and Structure
inside-the-kaaba.jpg

Photo of Inside the Kaaba. Interior matches the first photo
Some details of the interior the Kaaba:

  • There are three pillars inside
  • There is a small table on the side to put items like perfume and incense burners.
  • There are two lantern-type lamps hanging from a cross beam near the ceiling
  • There are no electric lights inside
  • The interior walls are clad with marble half-way to the roof.
  • The entire floor is of marble except for a small portion which is called "Rukhamat Humra".
  • Tablets with Qur'anic inscriptions are inset in the marble.
  • The top part of the walls is covered with a green cloth decorated with gold embroidered Qur'anic verses.
  • There are no windows inside
  • There is only one door
  • The space can accommodate about 50 people

Source: Ever wondered how the Kaaba looked inside - Tohir Solomons
 
...wanyoa unga hawafai kuongoza,hapo kawapakia walinzi wa kutosha....
 
kuwa Alhaj kijana ni kazi ngumu, ila amechagua fungu jema.
 
Jamani ufanunuz kwa walioenda hijja hiyo picha ya pil,samahan lkn
 
Back
Top Bottom