Picha za Zitto: Before and after Umra

Picha za Zitto: Before and after Umra

Mashaalah uamuzi wa busara sana kaka zito.

Allah akufanyie wepesi ufanye nikkah usitirike.

Kila la kheri, inshaalah nami allah anijaalie nifike huko sikumoja.

Napatamani sana japo bado sina uwezo ila inshaalah nitafika kwasababu nia ninayo.
 
humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini?na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?

Ndio maana na ww yesu wako ukamueka mweupe unapenda sana weupe ndugu!mbona viongozi wenu wanajisitiri vizuri kwa mawazi mfano wa kanzu ila waumini mnavaa vimini!!!!!!
 
Faiza, pale pembeni mwa Ka'aba umesahau kuweka picha ya lile jiwe(al-ajar al-Aswad) lililogeuka rangi toka nyeupe kwenda nyeusi kwa ajili ya kunyonya dhambi za bin-Adam!
 
Jionee mwenyewe:

k1.jpg

This what we usually get to see when the King of Saudi Arabia visits the Kaaba in Makkah

drawing.jpg

A drawing of the layout of the Kaaba
kaaba-plan.jpg

Plan and Structure
inside-the-kaaba.jpg

Photo of Inside the Kaaba. Interior matches the first photo
Some details of the interior the Kaaba:

  • There are three pillars inside
  • There is a small table on the side to put items like perfume and incense burners.
  • There are two lantern-type lamps hanging from a cross beam near the ceiling
  • There are no electric lights inside
  • The interior walls are clad with marble half-way to the roof.
  • The entire floor is of marble except for a small portion which is called “Rukhamat Humra”.
  • Tablets with Qur’anic inscriptions are inset in the marble.
  • The top part of the walls is covered with a green cloth decorated with gold embroidered Qur’anic verses.
  • There are no windows inside
  • There is only one door
  • The space can accommodate about 50 people

Source: Ever wondered how the Kaaba looked inside — Tohir Solomons
Kama Kaaba ni patakatifu kabisa kwa uislam ndio anaingia mfalme wa saudia tu? Kwani yeye ndio kiongozi wa kiroho wa waislaam wote au ni kiongozi wa dola ya saudia tu! Je zitto angeweza kuingia Kaaba?
 
Kama Kaaba ni patakatifu kabisa kwa uislam ndio anaingia mfalme wa saudia tu? Kwani yeye ndio kiongozi wa kiroho wa waislaam wote au ni kiongozi wa dola ya saudia tu! Je zitto angeweza kuingia Kaaba?

Kwani pale nyuma hujamuona Ex presda Pervez Musharraf wa Pakistan?
 
Kama Kaaba ni patakatifu kabisa kwa uislam ndio anaingia mfalme wa saudia tu? Kwani yeye ndio kiongozi wa kiroho wa waislaam wote au ni kiongozi wa dola ya saudia tu! Je zitto angeweza kuingia Kaaba?

Kwani huoni haa wengine alio andamana nao !?...........au hujui wafanya usafi pia huingia humo !?
Mfalme wa Saudia hana cheo chochote katika Uislaam, yeye ni Custodian wa Msikiti Mkuu, kama alivyo Salim Bakhresa katika ule Msikiti wa kwa Mtoro wa Kariakoo. kmbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Faiza, pale pembeni mwa Ka'aba umesahau kuweka picha ya lile jiwe(al-ajar al-Aswad) lililogeuka rangi toka nyeupe kwenda nyeusi kwa ajili ya kunyonya dhambi za bin-Adam!

Lilikuwa jeupe lini ?.............au unafananisha na ibada ya 'damu ya Yesu' !??
 
Mnafki Zitto hata siku akienda kuzika kuna wale wanaoingia kwenye kaburi na juu linafunikwa shuka bila shaka huyu jamaa atataka apigwe picha huko kaburini na kuipost instagram.
 
Mnafki Zitto hata siku akienda kuzika kuna wale wanaoingia kwenye kaburi na juu linafunikwa shuka bila shaka huyu jamaa atataka apigwe picha huko kaburini na kuipost instagram.

Tatizo lako nini !?.............hiyo ndo kazi ya Instagram.
 
Lilikuwa jeupe lini ?.............au unafananisha na ibada ya 'damu ya Yesu' !??

Kawaulize wale stone caretakers wa Makkah, watakueleza mapokeo waliyopewa kuhusu jiwe hili. Kombo kumbuka hata wale Waarabu wapagani walikuwa wajitahidi kugusa na kukisi jiwe hili kwa miaka mingi so usishangae rangi yake ya asili kubadilika!
 
Kwani pale nyuma hujamuona Ex presda Pervez Musharraf wa Pakistan?
Kumbe hata jk akienda anaweza kuingia kaaba!.. Wanaingia wanasiasa wakubwa tu au waislaam mashuhuri maana sioni namna ya kila muislaam kuingia kaaba wakati wa hija. Ingekua vizuri kumuona ayatollah wa iran na mfalme wa saudia kwa pamoja humo ndani kuleta umoja.
 
Bibi FaizaFoxy tunahtaji ufafanuzi zaidi juu ya uwepo wa hicho kijumba tafadhari.
Nauliza ili nijifunze sio kwa kejeri kama wengine wafanyavyo.
Wakuu Kigogo na Marire naomba busara itawale ndimi zenu, heshimuni ibada za wenzenu jamani.

Hicho "kijumba" Al Kaaba, kumbuka neno "cube" linatokana na Kiarabu "Kaaba". Imeandikwa Historia yake hapa (fata link chini hapo), pitia ujisomee:

The Ka’aba, The House Of Allah | Story of the Holy Ka’aba | Books on Islam and Muslims | Al-Islam.org

Na hapa utapata audio na reference zilizopo ndani ya Biblia kuhusu Al Kaaba:

The detailed story of how the Kaaba was built by Abraham and his son Ishmael peace be upon them
 
quote_icon.png
By Marire

humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini? na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?

Hicho Kitambaa kinaitwa Kiswah, jisomee uelewe kuhusu hicho kitambaa:

[h=1]Kiswah[/h]

The Kiswah
The Kiswah is a black cloth, woven of silk and lined with cotton, which covers the Kaaba. Each year, a new Kiswah is prepared, embroidered in gold thread with the Shahadah and verses from the Holy Qur'an and carried to the Holy City of Makkah by pilgrims. The completed Kiswah is over 45 feet wide, and nearly 130 feet in length. A recent estimate of producing the Kiswah each year put the cost at about SR 17 million (U.S. $ 4.5 million). The Kiswah is created in the special factory that has been making kiswahs since it was first opened around 1927. During the Hajj, the black Kiswah is replaced by a white cloth, matching the white robes (ihram) of the pilgrims. At the end of Hajj, the newly woven kiswah is placed over the Kaaba. The old one is cut into small pieces and give to pilgrims from different Muslim countries.

[video=youtube_share;hPAWVCJa4io]http://youtu.be/hPAWVCJa4io[/video]
 
Jamani "Umrah" ni Hijjah ndogo, na mtu aweza kwenda wakati wowote akiweza, ili mtu aitwe Al - Hajj means ameenda Hijjah kubwa, sio "Umrah"
 
Back
Top Bottom