Na hawa wanaruhusiwa kwenda hija???,i mean wasaliti na waongo???
Hija si ndio wanasema mahala patakatifu???? Lol
Zipo sawa... Ni Hija ndogo hiyo....
huwa najiuliza huyu bwana haoi kwa nini wakati umri na pesa vinam ruhusu,sipati jibu! Not personal,but serious!Zuberi si hajaoa??, mbona anatafuta balaaa angeoa kwanza.
....
Wewe naamini ni wale chakula ya Mapadri.Satanic verses zimefunikwa humo
humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini?na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?
Mashallah...jazaka llahu kheri...
Bado kufanya nikaha tu...Allah akufanyie wepesi..
Mbona walawiti wamejaa tele vatcan wakila sahani moja na papa!kumbe hata wasaliti wanaruhusiwa hija?
leo nimeshangaa
Mashallah...jazaka llahu kheri...
Bado kufanya nikaha tu...Allah akufanyie wepesi..
Mbona walawiti wamejaa tele vatcan wakila sahani moja na papa!
Asante FF, natumaini umetoa darsa swafi, natumaini watu wa kuilimika wamiilimika!.Jionee mwenyewe:
This what we usually get to see when the King of Saudi Arabia visits the Kaaba in Makkah
A drawing of the layout of the Kaaba
Source: Ever wondered how the Kaaba looked inside - Tohir Solomons
humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini?na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?
Inaelekea kiogozi, unapenda sana weupe.BLACK IS BEAUTY !!!!humo ndani ya hilo jumba jeusi kuna nini?na kwanini wasiweke kitambaa cheupe?