Picha za warembo wazuri kutoka Tanzania

Mrembo ni mke wangu tu.....sifia cha kwako usisubiri mwanaume mwenzio amsifie mkeo........NETWORK SEACHING

Kabisaaaa ni mrembo kuliko sote ati ndio maana ukamchagua moyo umependa haumbiliki jambo...msifie vizuri wifi yetu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sera ya Kilimo Kwanza chukua hao warembo toa hizo makeup peleka shamba tuone kama hawajawa wa kawaida sana
 
umeongea points muhimu shosti wangu mwanamke mzuri ni yule anaejistiri vizuri mwili wake na mapambo ya uzuri wake akamuonesha mume wake tu mtu unavaa top kifua chote nje watu wote wanaona huyu mpenzio unamuonesha nini akajua kama umemtunzia yeye tu?


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nawe shangaaa.............
 
tumblr_mwvrcjA2UW1t2e1lvo8_500.jpg
 
ungefika mtaani kwetu hao usingewaita warembo/wazuri ila ingewaita vinyago wa mtaani kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom