Picha za warembo wazuri kutoka Tanzania

mamiss (8).jpg
 

Du!!...
Hii imenikumbusha mbali kweli... Ilishawahi kunitokea mimi mwenyewe, sinajua tena mambo haya ya kuchat na mtu ambaye hujawahi muona hata siku moja, kilichonivutia ni sauti yake nyororo kwenye simu ikabidi tuweke appointment ya kukutana wk end moja jioni...
Mimi nikawahi kufika eneo la tukio na nikabana kwenye kona moja hivi kumsubiri mrembo wa ndoto zangu....
Bwana we mara kitu kikashuka kwenye daladala na akatoa simu na kuipiga na Mara simu yangu ikaita, kucheki ni namba yake!!! Loooh!!! Sikuamini nikaikata simu kuona kama kweli ni yeye ndo aliyekuwa akinipigia na kweli nikamuona akiitoa simu sikioni na kuiangalia, akapiga tena nikakata mtoto wa watu akaanza kukunja uso!!! Looh hiyo sura na shepu kwa kweli viliniogopesha hasa
Nilikula kona na sikurudia tena wallah....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom