Picha za wake wa mfalme Mswati III wa Swaziland

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Mke wake wa kwanza 'Queen LaMatsebula'
Mfalme wa Swaziland Makhosetive Dlamini maarufu kama King Mswati, wakati anateuliwa kuwa mfalme kurithi kiti cha Baba yake Mfalme Sobhuza III.

King Mswati alikuwa ndiye mtu mdogo zaidi kuongoza nchi za kifalme duniani, kwani alikuwa na miaka 18 tu.

Mpaka sasa ana jumla ya wake 14 na watoto 24, wake zake wawili huchaguliwa na wazee wa nchi ambao hujulikana kama bodi, na lazima wawe wametoka kwenye familia zenye status nzuri.
ndiye anayehusika na masuala yote ya kiserikali, na lazima atokee kwenye familia yenye uwezo au wa kichifu, na awe na tabia na siha njema.

Lakini licha ya kuwa ndiye mke mkubwa, mtoto wake wa kiume haruhusiwi kurithi kiti cha baba yake. Kitaaluma huyu ni mwanasaikolojia.

Mke wake wa pili Queen LaMotsa “La Madone” ambaye ni Patron wa shule ya wasichana ya Mt. Annes ya Malkerns na pia ni balozi wa UNDP, huyu huchaguliwa na bodi ya taifa (unaweza sema baraza la wazee) kuwa mke wa Mfalme.

Mke wake wa 3, Inkhosikati LaMbikiza ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili, huyu ndiye mwanamke wa kwanza kuchaguliwa na yeye mwenyewe mfalme kutokana na utamaduni wao.

Pia ndiye malkia wa kwanza wa Swaziland kurekodi albam ya muziki na kuendelea na msomo akiwa kama mke wa mfalme, ana degree ya sheria kwa upande wa taaluma.

Na ndiye mama wa binti mkubwa wa Mfalme Mswati , Princess Sikhanyiso Dlamini, ambaye ni mwanamuziki wa kuimba na Hip Hop.

Mke wa 4, Inkhosikati LaNgangaza, huyu huchaguliwa na mwenyewe Mfalme Mswati, ambaye kitaaluma ni Wakili, anapenda masuala ya urembo na amekuwa akihamasisha sana masuala ya urembo kwa wanwake, elimu, afya ya uzazi na ni Matron wa Swaziland Hospice at Home , ambayo ilikuwa ikiendeshwa na Princess Diana mwenyewe wa Uingereza.

Mke wa 5, Inkhosikati LaHwala huyu alichaguliwa na mwenyewe Mfalme, na inasemekana alikimbia nchi na kwenda kuishi Afrika Kusini, sababu ya kufanya hivyo haijaelezwa lakini kisheria bado ni mke wa mfalme. Alipoondoka aliacha watoto watatu.

NAKUMBUSHA... HII NI SEHEM NDOGO SANA YA HISTORIA YA MFALME MSWATI..

Source: Imran Hassan Mndeme

mswati%2B11.jpg

Hata haka ka Mama ni kodi zetu?

Tetesi zinasema hivyo...ingawa kwa upande wa pili rekodi za mhusika katika kitengo cha uroda na burudani haziachani mbali na tetesi hii...ukichukua sample ya species zake...
 
Last edited by a moderator:
Mfalme wa Swaziland Makhosetive Dlamini maarufu kama King Mswati, wakati anateuliwa kuwa mfalme kurithi kiti cha Baba yake Mfalme Sobhuza III.

King Mswati alikuwa ndiye mtu mdogo zaidi kuongoza nchi za kifalme duniani, kwani alikuwa na miaka 18 tu.

Mpaka sasa ana jumla ya wake 14 na watoto 24, wake zake wawili huchaguliwa na wazee wa nchi ambao hujulikana kama bodi, na lazima wawe wametoka kwenye familia zenye status nzuri.

Mke wake wa kwanza 'Queen LaMatsebula'
ndiye anayehusika na masuala yote ya kiserikali, na lazima atokee kwenye familia yenye uwezo au wa kichifu, na awe na tabia na siha njema.

Lakini licha ya kuwa ndiye mke mkubwa, mtoto wake wa kiume haruhusiwi kurithi kiti cha baba yake. Kitaaluma huyu ni mwanasaikolojia.

Mke wake wa pili Queen LaMotsa “La Madone” ambaye ni Patron wa shule ya wasichana ya Mt. Annes ya Malkerns na pia ni balozi wa UNDP, huyu huchaguliwa na bodi ya taifa (unaweza sema baraza la wazee) kuwa mke wa Mfalme.

Mke wake wa 3, Inkhosikati LaMbikiza ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili, huyu ndiye mwanamke wa kwanza kuchaguliwa na yeye mwenyewe mfalme kutokana na utamaduni wao.

Pia ndiye malkia wa kwanza wa Swaziland kurekodi albam ya muziki na kuendelea na msomo akiwa kama mke wa mfalme, ana degree ya sheria kwa upande wa taaluma.

Na ndiye mama wa binti mkubwa wa Mfalme Mswati , Princess Sikhanyiso Dlamini, ambaye ni mwanamuziki wa kuimba na Hip Hop.

Mke wa 4, Inkhosikati LaNgangaza, huyu huchaguliwa na mwenyewe Mfalme Mswati, ambaye kitaaluma ni Wakili, anapenda masuala ya urembo na amekuwa akihamasisha sana masuala ya urembo kwa wanwake, elimu, afya ya uzazi na ni Matron wa Swaziland Hospice at Home , ambayo ilikuwa ikiendeshwa na Princess Diana mwenyewe wa Uingereza.

Mke wa 5, Inkhosikati LaHwala huyu alichaguliwa na mwenyewe Mfalme, na inasemekana alikimbia nchi na kwenda kuishi Afrika Kusini, sababu ya kufanya hivyo haijaelezwa lakini kisheria bado ni mke wa mfalme. Alipoondoka aliacha watoto watatu...
NAKUMBUSHA... HII NI SEHEM NDOGO SANA YA HISTORIA YA MFALME MSWATI..

Source..
Imran Hassan Mndeme
IPP MEDIA

Nawasilisha wakuu..
IMG_20180213_112255_403.jpg
 
Tswaziland ndio Nchi niliyozuru Mara nyingi zaid maishani mwangu, ilikuwa Kila Mwaka lazima tupige kikozi uchwara kule kulamba million kadhaa enzi za Mkwere!

Kwa utaratibu wao Mtoto wa Mwisho wa Kiume ndio huwa mrithi na lengo lake ni kuzuia Mauaji kwa 1st born kwa kuwa atakuwa anajulikana kuwa ni 1st born since day one
Lakin kitinda Mimba hujulikana pale unapokoma kuzaa au kufariki!

Wakati Baba yake Huyu Mswati anafariki, Huyu Mfalme wa sasa alikuwa bado mdogo ilikuwa mwanzoni Mwa 1980s ikabidi nafasi hiyo ikaimiwe kwa Miaka kadhaa na Mama yake wakati huo Yeye alimalizia Masomo yake Uingereza

Hawa nao wamehamisha Mji Mkuu wao toka Manzini mpaka Mbabane Kama sie kutoka Dar to Dom

Asilimia kubwa ya Wanaume wapo Migodini South Africa na kuacha wake zao kule hivyo idadi kubwa ya wakazi ni wanawake!

Currency ya South Africa inatumika sambamba na Pesa Yao kwenye Matumizi ya kawaida Dukani
 
hongera mkuu..
 
Back
Top Bottom