Picha za shilole "akipigwa mistari" ( akitongozwa).....

Picha za shilole "akipigwa mistari" ( akitongozwa).....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
​

MSANII wa sinema na muziki wa Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Desemba 16, mwaka huu alinaswa gizani akiwa amejiweka kimahaba kwa mmoja wa waimbaji wa mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Antoine Christophe Agbepa Mumba ‘Koffi Olomide’,

Tukio hilo lilitokea ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, ambapo Shilole alienda kwa ajili ya kushuhudia shoo ya mwanamuziki huyo.

​

Haikuweza kufahamika mara moja kama Shilole alimkubalia mshikaji huyo lakini wadakuzi wanadai baada ya shoo kumalizika, mwanamuziki huyo alimfuta tena Shilole na kuongozana naye hadi kwenye gari alilokwenda nalo pale ukumbini.


​


 
Nasikia anajua sana on bed... ila sijajua kwaniii mumewe alimuacha
 
Mhhhhh! MziziMkavu nimekuvulia kofia Mkuu 🙂🙂
:yo::yo::yo:
Mkuu BAK Kumbe Mwanamke ("akipigwa mistari'') ndio anatongozwa? ahhh Lugha ya kiswahili imezidi kupanuka nilikuwa mimi sijuwi hilo neno la Mwanamke kupigwa Mistari si unajuwa tena Mtoni miaka mingi hata lugha ya kiswahili inanipiga chenga.......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! Macho yako yalinaswa kwanza na kilimo kwanza kabla ya kitu kingine chochote kile lol! kisha ndio ukaona vingine baadaye
:fencing:
:fencing::fencing:
BAK, yani hapo kama ingekua ni shughuli ya kumchinja ngamia, ndugu zetu waislamu wanasema keshaelekea quibla na magoti keshapiga...
 
Kiswahili kinazidi kupanuka Mkuu...We acha Mkuu!!!! kama siyo JF viswahili vya siku hizi vingewapiga chenga sana wengi ambao wanaishi nchi za nje. Ungeweza kuuliza hapa "kilimo kwanza" ndiyo nini? ukitafsiriwa ungesema ahhhh! hiyo kitu mie nilipoondoka ilikuwa inaitwa kishtobe lol!


Mkuu BAK Kumbe Mwanamke ("akipigwa mistari'') ndio anatongozwa? ahhh Lugha ya kiswahili imezidi kupanuka nilikuwa mimi sijuwi hilo neno la Mwanamke kupigwa Mistari si unajuwa tena Mtoni miaka mingi hata lugha ya kiswahili inanipiga chenga.......
 
Hii mitu Kana-Ka-Nsungu mitu hatari sana hii ina ugonjwa mbaya sana lol!..BAK hatii neno 🙂

BAK, yani hapo kama ingekua ni shughuli ya kumchinja ngamia, ndugu zetu waislamu wanasema keshaelekea quibla na magoti keshapiga...
 
Last edited by a moderator:
Kiswahili kinazidi kupanuka Mkuu...We acha Mkuu!!!! kama siyo JF viswahili vya siku hizi vingewapiga chenga sana wengi ambao wanaishi nchi za nje. Ungeweza kuuliza hapa "kilimo kwanza" ndiyo nini? ukitafsiriwa ungesema ahhhh! hiyo kitu mie nilipoondoka ilikuwa inaitwa kishtobe lol!
Mkuu BAK kwa hiyo Kilimo kwanza ni Kishtobe? Ahhh kiswahili mnakiharibu nyie vijana wa siku hizi angelikuwepo Baba wa Taifa wala msingefika huko kuharibu lugha yetu tukufu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli BAK, JF inanisaidia sana ku keep up na new swahili vocabularies manake unaweza ukirudi Bongo ukawa ukiongea watu wanakucheka kwa kiswahili chako cha enzi za mwalimu..
 
Hii mitu Kana-Ka-Nsungu mitu hatari sana hii ina ugonjwa mbaya sana lol!..BAK hatii neno 🙂

Asee huyu dada naombeni mnipe contacts zake manake its very rare kukuta demu unampiga sound afu anaangalia chini, hapo I bet alisaga kucha kidogo na kama kungekua na majani angeyachuma chuma huku akiendelea kuimbishwa. Midemu mingi ya siku hizi inakukazia macho hadi unaogopa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom