kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,950
shati jeupe alifyozi miozi ya jua linatema ,tofauti na jeusi au marangi mengine mkuuROSTAM NA MASHATI MEUPE
Kama umegundua, huwa anapenda kuvaa shati jeupe kwenye public.
Nenda YouTube angalia press zake.
Google picha zake.
Nyingi utakuta ana shati jeupe au koti la suti na shati jeupe ndani.
Bado sijafahamu kwa nini anapenda kuvaa hivyo.
Ila naamini kuna kitu behind.