HakikaHapa ndipo jiwe alipojichanganya
Iño
Anajua kabisa hizi ng'ombe zote masikini ngoja niishi nazoView attachment 3453020ukisikia kamdomo ndio hako kamdomo cha Rostam.......... VPN HOYEEEEEEEEE sinunui bando Mimi.......
sitangu zamani tulikuwa tunasema alikuwa ana betri kwenye moyo, imekuwa kauwawa tena, sio kwamba ujuaji ndo uliomponza? mara apige pushapu mara apige judo mara acheze singeri wakati anajua ana moyo mbovu, pia kungangania kutibiwa na akina janabi nayo lilikuwa tatizoTrust me guys naposema Magufuli aliuawa. I cant say exactly by who, but kuna kikundi cha very few people ambao aliwazibia milango ya ufisadi wao. Lakini kwenye hako kakikundi i'm 99% sure yupo pia rais, rais mstaafu na huyo muhindi.
Time will tell everything very soon.
King maker 😄
Ova
OkayRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010
View attachment 3452446
View attachment 3452482
Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018
View attachment 3452435
Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz , 2019
View attachment 3452480
View attachment 3452481
View attachment 3452498
View attachment 3452489
View attachment 3452497