Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010
View attachment 3452446

View attachment 3452482

Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018
View attachment 3452435

Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz , 2019
View attachment 3452480

View attachment 3452481

View attachment 3452498

View attachment 3452489

View attachment 3452497

View: https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
 
Kuna wengine hapa duniani wako peponi na bado watarithi pepo ya huko ahera, halafu kuna wengine pangu pakavu tia mchuzi wanaishi hapa duniani kama wako motoni na bado wataishi na Shetani huko motoni milele.
Labda kama mungu wako ni rostam.
 
embu nielewesheni wakuu rostam azizi ni raia wa tanzania katiaka category gani na je inaruhusiwa lugombea ubunge kwa mtu kama rostam
 
ROSTAM NA MASHATI MEUPE

Kama umegundua, huwa anapenda kuvaa shati jeupe kwenye public.

Nenda YouTube angalia press zake.

Google picha zake.

Nyingi utakuta ana shati jeupe au koti la suti na shati jeupe ndani.

Bado sijafahamu kwa nini anapenda kuvaa hivyo.

Ila naamini kuna kitu behind.
Maana yake USAFI WA KIROHO.

Yupo safi
 
embu nielewesheni wakuu rostam azizi ni raia wa tanzania katiaka category gani na je inaruhusiwa lugombea ubunge kwa mtu kama rostam
Mnyamwezi wa Tabora HUTAKI
 
Wazungu huita conspirancy theories , huwezi kupata hizo classified information kama ni kweli, huwa tukio linafutwa na evidence zake zote wanaita collateral damage!! Ni bora ushike jembe ukalime kuliko kuweka kichwani stori za mambo makubwa ambayo kamwe hutaona yakivuja maana taarifa hufutwa mara baada ya tukio.
Mzee hapa kwenye mfano wa collateral demage kama umetupiga vile.
 
ROSTAM NA MASHATI MEUPE

Kama umegundua, huwa anapenda kuvaa shati jeupe kwenye public.

Nenda YouTube angalia press zake.

Google picha zake.

Nyingi utakuta ana shati jeupe au koti la suti na shati jeupe ndani.

Bado sijafahamu kwa nini anapenda kuvaa hivyo.

Ila naamini kuna kitu behind.
We ulitaka avae koti la suti na shati jeusi?
 
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010
View attachment 3452446

View attachment 3452482

Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018
View attachment 3452435

Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz , 2019
View attachment 3452480

View attachment 3452481

View attachment 3452498

View attachment 3452489

View attachment 3452497
Duh!..pesa ipo
 
Back
Top Bottom