Na mbaya zaidi masikini tuna wachukia matajiri utadhini wakifirisika sisi ndio tutakuwa matajiri. Utajiri ni fikra na bahatiKuna wengine hapa duniani wako peponi na bado watarithi pepo ya huko ahera, halafu kuna wengine pangu pakavu tia mchuzi wanaishi hapa duniani kama wako motoni na bado wataishi na Shetani huko motoni milele.
Jpm alimuuzia mgodi kwa bei ya kimangungu?Watu wa Magufuli ,mnakumbuka haya! Tuache ushabiki tuangalie vitu kwa uhalisia wake!..No reform no Election
🐔M ni muiranTrust me guys naposema Magufuli aliuawa. I cant say exactly by who, but kuna kikundi cha very few people ambao aliwazibia milango ya ufisadi wao. Lakini kwenye hako kakikundi i'm 99% sure yupo pia rais, rais mstaafu na huyo muhindi.
Time will tell everything very soon.
Huyo aliyekatwa kushoto (unaonekana mkono tu) ni Bwana PolepoleView attachment 3452532
ROSTAM ANA TABASAMU KIZUSHI SANA
Hii picha huwa naikubali Sana, na nili itafuta sana humu😂😂
kwenye hiyo picha ya tano hapo hiyo wiring ya kwenye TV hapo ni Ikulu au ofisi za CCM Lumumba?Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010
View attachment 3452446
View attachment 3452482
Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018
View attachment 3452435
Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz , 2019
View attachment 3452480
View attachment 3452481
View attachment 3452498
View attachment 3452489
View attachment 3452497
Hela za plea bargain ziko wapi?.. rostam alikua na kosa gani mpaka asamehewe?Kwenye press fulani hizi za Polepole alisema serikali ya JPM ilifikia uamuzi wa kuwasamehe baadhi ya watu waliopotoka kwa matarajio kwamba wangebadilika kabisa.
Also nakumbuka zile issues za plea bargain kwenye ofisi za DPP kama namna ya kuwaachilia mafisadi waliokuwa mahabusu (2019).
Walipaswa kukiri makosa na kulipa fidia za hela walizowafisadi Watanzania.
Nadhani hata kwenye chama walifanya kitu kama hicho kwa akina Kinana hadi kusamehewa, (isipokuwa Membe?)
Nadhani kwa msingi huo ndipo tunamwona Anko Magu akimnadi Rostam waziwazi.
NB: Polepole alisema kwenye ile press yake kwamba hilo lilikuwa kosa kubwa.
Sasa naanza kuunganisha nukta.
Huna picha akiwa na mkapa?Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010
View attachment 3452446
View attachment 3452482
Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018
View attachment 3452435
Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz , 2019
View attachment 3452480
View attachment 3452481
View attachment 3452498
View attachment 3452489
View attachment 3452497
Hizo ni hisia zako tena za kipuuzi. Mimi ni Shabiki wa Magufuli Pro max. Na Mwamba Magufuli alikuwa mcha Mungu kweri kweri. Na mcha Mungu kweri kweri hajui siku wala saa ambayo Bwana Mungu wake atamuita. Na yeye Mwamba alikuwa akilisema kila mara. Unakuta mtu kama wewe unaongea ujinga halafu unaenda Kanisani au Msikitini! Kufanya nini? Nyambafu!!!Trust me guys naposema Magufuli aliuawa. I cant say exactly by who, but kuna kikundi cha very few people ambao aliwazibia milango ya ufisadi wao. Lakini kwenye hako kakikundi i'm 99% sure yupo pia rais, rais mstaafu na huyo muhindi.
Time will tell everything very soon.
View attachment 3452532
ROSTAM ANA TABASAMU KIZUSHI SANA
Taratibu mkuu.This is to face a firing squad
Tena magufuli kakiweka mbali kabisa Cha kwake utafikiri hakioniPicha ya rostam na magufuli kuna vikombe vya kahawa ila hakuna aliekunywa
Trust me guys naposema Magufuli aliuawa. I cant say exactly by who, but kuna kikundi cha very few people ambao aliwazibia milango ya ufisadi wao. Lakini kwenye hako kakikundi i'm 99% sure yupo pia rais, rais mstaafu na huyo muhindi.
Time will tell everything very soon.
Mkuu nimezungumza kijumla nikimaanisha aina fulani ya political get-together kwa almost makundi yote yaliyokuwa mguu pande wakati huo.Hela za plea bargain ziko wapi?.. rostam alikua na kosa gani mpaka asamehewe?
Kuna wakati utazilaumu nguo si nzuri lakini tatizo ni la mafundi ushoni na miili ya wavaaji hakuna ushirikiano.Ccm nguo zao wakivaa huwa aziwakai vyema...ni kama watu wanaokurupuka hivi...ebu muangalie mzee magufuli...huyu mzee kasim, na hako kazee kakwanza kulia...!
😅😅😅Kuna wakati utazilaumu nguo si nzuri lakini tatizo ni la mafundi ushoni na miili ya wavaaji hakuna ushirikiano.