Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,372
Mpaka sasa amesha safiri mara 333 nje ya nchi..Chezea kikwete wewe, maana yake ni kwamba kama kila safari alikuwa anakaa huko siku tatu kimahesabu ni hivi===333x3= 9999 ukigawa kwa nambaya siku za mwaka 999/365 ni sawa na miaka takribani mitatu nchi bila raisi....
Hakuna mbaya 7bu hata akiwemo hakuna kitakachobadilika, bora angefanya hata kuhamia hukohuko nje kabisaa






