Asante rais wetu mimi nakupenda kwa kuchanganyika na watu wa aina zote. Huo ndio utu na si hao wengine wanaojiona wako at the top of the earth hawana time na watu wadogo wa uswahilini,au wacheza sinema au bibi kama huyo uliyemtembelea huko chalinze. Nakushkukuru unajua pia kuna watu kama kina kanumba, happy magese na huyo mama mliyekuwa naye kwenye kampeni. Nitafurahi sana ikiwa siku moja utafika uswahilini kwetu tegeta kwa ndevu. Karibu sana.
Mkuu hili nijukwaa huru kama unazo picha za matukio mbalimbali raisi wetu mpendwa akijenga nchi tuwekee au mods wanazifuta? acha kulalamika tu..Naomba tupunguze kashfa kwa kiongozi wa nchi, wasanii ni sehemu ya jamii, lazima aonane nao na kushauriana nao. kuna matukio mengi aliyopiga nayo picha lakini wewe umechagua hayo machache kwa lengo la kumdhalilisha tu. kwa mfano wakati anagawa matrekta kwa wakulima mbona sijaona picha yake hapo. anapotoa misaada ya ng'ombe wa waathirika wa ukame, amehimiza uzalishaji mali wa viwanda vya ndani mfano cement, sioni picha hapa. kwa viongozi wote duniani unaweza kutengeneza story kwa kutumia picha za matukio kwa mtazama wako binafsi. Hata mitume, manabii na Yesu mwenyewe alitengenezewa story ya udhalilishaji kama hii. Mimi sio mwana ccm, lakini nasema hivi, 'Kikwete atakapomaliza muda wake tutaanza kumlilia kabla hata mwaka haujaisha, bila kujali atakayempokea ni mwanaccm mwenzie au kutoka chama kingine, Kilio ni lazima' naomba Mungu anipe uzima ili haya yatakapotokea niwakumbushe. MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.
this stupid guy never talked any logical thing..kila siki ni pumba tu... utumwa bwana taabu kweli
Bila shaka hapa alikuwa akicheza kidalipo kweli kikwete anaonyesha kujari watoto wetu.
Bila shaka hapa alikuwa akicheza kidalipo kweli kikwete anaonyesha kujari watoto wetu.
Mnafikiri nchi inajengwa kwa kushika sururu na jembe tu> ingekuwa hivyo angejenga Nyerere kwanza, lakini si mnajuwa alivyoiacha au mlikuwa hamjazaliwa?
Hao anaokutana nao Kikwete hao ndio wajenga nchi kama hamjui.
Ndiyo unajua leo...?
Na kweli, si unaona maisha bora kwa kila mtanzania...
Ohhh yes, kwa takwimu kabisa, life expectancy ya Mtanzania during Nyerere, Mwinyi, Nkapa never exceeded 50 years that is a total of 44 Years of ruling. Kikwete's time, just 7 Years of ruling, life expectancy shot to over 58 years. Biggest achievement on maisha mazuri kwa kila Mtanzania ever.
Ohhh yes, kwa takwimu kabisa, life expectancy ya Mtanzania during Nyerere, Mwinyi, Nkapa never exceeded 50 years that is a total of 44 Years of ruling. Kikwete's time, just 7 Years of ruling, life expectancy shot to over 58 years. Biggest achievement on maisha mazuri kwa kila Mtanzania ever.
Unaweza kunipata maelezo zinsi ya kukokotoa na kupata hiyo 58? na je hizi tathimini zilifanyika lini maana wasiwasi wangu ni kama hizi tunazoambiwa Tanzania tunapaa kimaendeleo...
SON, YOU GAHT THE MOSQUITO NETS IN EXCHANGE WE GET YEARS TO MINE GOLD AnD SET OUR CAMPS IN YOUR COUNTRY, AND WE HAVE A DEAL yeah?! NDIO NDIO BUSHI...
Nina imani kuwa baada ya kuona kuwa nanasi za hapa Bongo ni bora kuliko za huko Ghana na Ivory Coast, atajitahidi kuzitafutia soko za hapa kwetu huko Ulaya wanakouza wenzetu.