Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

Hahahahaha mi napita kando bwana,,,,,ndo maana inaitwa serikali ya wasanii
HAPANA KAKA. Kufikiri ni Kugumu. Hatutakuja pata Rais wa aina hii. Tutakujafahamu baadae sana. Binadam wengi sn hujisahau kuwa hawapaswi kumdharau binadamu. Hakuna Binadam aliye Bora Zaidi kuliko Binadam katika Binadam. Usiingie ktk dhambi ya dharau. Mungu hapendi. Matabaka, Makundi na Ubaguzi wa aina yoyote. Je? I ngefurahisha apige picha na ww peke yako tu?? Hizo picha nyingine za Hospitali na shule ni kielelezo cha Taifa Zima. JK 'Maaasikini' afanye nini? Kulimaliza hilo ni kulitafutia jibu, Je? Tanzania ina Matatizo gani. Toa jibu lako lakini mimi ninasema tatizo kubwa la Taifa la Tanzania ni 'Mind Set'. Mitizamo ya kifikra ni tatizo kubwa. Hatuwajibiki sisi sote la sivyo nchi ingelienda. Kwa mfano. Wewe binafsi, kwa kipaji na uwezo wa kufikiri uliojaliwa, umelifanyia nini Taifa, kama si kijiji chako au familia yako. Kuna Jambo Tusilolijua.
 
Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?
wewe mambo ya marekani na ulaya kwenye baridi na mabarafu unataka uyalete bongo daslamu ya kuvaa dark suit?? hii bongo bana joto kama upo kwenye rectum
 
hahahaha daaaah hii kweli ya kufungia mwaka... hapo kwenye bembea waga panafurahisha sana... Mkuu usisahau na ile alipotembelea mbuga za wanyama kucheki pundamilia
 
Kikwete akiwa ughaibuni kutembeza bakuli tusilale njaa :becky:
426791_523460061020448_1017379867_n.jpg
 
Paul kagame na Jakaya Mrisho kikwete
kikwetekagame.jpg
kipindi wakiwa maswahiba
​
 
This is the beginning of the end of the chama twawala. Unawezaje kutumia milions of tax payers money kwenda kubembea na kupiga picha na akina steven siegger, and other celebrities?
 
View attachment 61167
View attachment 61169
View attachment 61170
View attachment 62103
View attachment 61171
View attachment 61172
View attachment 61173View attachment 61740
Tuendelee kutupia picha hapa...
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
kwa update za safari za raisi wetu kwenda kuhemea pitia uzi huu hapa chini
Safari za raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. J.M.Kikwete tangu 2005

Sindbad Baharia wa Baghdad!
CC. FaizaFoxy
 
Kuna mtu kagundua nilichokiona katika huu mfano wa cheki?
attachment.php
Du! hivi marais hawaruhusiwi kusoma wanachokizindua?<mbona walakini="" pana="" hapa="" anachekelea?Nadhani="" mukulu="" na="" tatu="" laki="" zinaonyesha="" 2,tarakimu="" dola="" yanasema="" maandishi="" cheki="" hiyo="" html="" kdogo.<=""></mbona>
 
Back
Top Bottom