Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

binaadanu yoyote anaekumbuka mapungufu tu na kusahau mema huyo hajakamilika anamapungufu ajirekebishe.
Mkataa pema ujue mabaya yanamuita, tujifunze kwa Libya na Zambia.
 
Haka kajamaa mimi kananiacha hoi kila kukicha. Maana sasa imefika nikisikia tu kuwa mshua kasafiri kwenda nchi fulani basi naingia mtandaoni kuona kama alikokwenda anabembea, kunywa chai na wasanii wachovu wa fleva, au kushangaa tu miji ya watu maana sioni cha maana akifanyacho.
 
Miaka kumi inaisha mzeeahadi zako hewa...
 
IMG-20150413-WA0066.jpg
 
JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.
Ila, mambo kama kumtajirisha Ridhiwani, kuendeleza rushwa, ufisadi, kuachilia mikataba mibovu iendelee, n.k. hivyo vyote amefanya wakati halipwi mshahara ili avifanye !!
Hapo vipi ??

Hapo sawa!!!!
 
Jk is a Joker, a comedian...... Rais wa hovyo kutokea nchi hii
 
Back
Top Bottom