Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Hahahahaha mi napita kando bwana,,,,,ndo maana inaitwa serikali ya wasanii
 
SON, YOU GAHT THE MOSQUITO NETS IN EXCHANGE WE GET YEARS TO MINE GOLD AnD SET OUR CAMPS IN YOUR COUNTRY, AND WE HAVE A DEAL yeah?! NDIO NDIO BUSHI...
President-Jakaya-Kikwete--007.jpg
 
Jamani wadhungu eheeh subirini kidogo JK mwenyewe anamalizia kutinga suti anakuja sawa eehee...
Jakaya+Kikwete+Camilla+Duchess+Cornwall+Prince+X6TTDCxUqm-l.jpg
 
Poleni sana kwa msiba wa Kanumba, mimi mwenyewe nilikua mpenzi sana wa muvi zake. Zinanipaga kampani sana ule mda wa bunge wakati kina Mnyika,Zitto na kina Mdee wakiwa wamewasha moto. Poleni sana ni janga kwa taifa zima esp kwa serikali nami binafsi
Kanumba+6.jpg
 
Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?
 
Eee Gadafi, nilikua nakuona kwenye video tu kumbe handsome hivi tehteh, afu nasikia unataka bifu nawamarekani,we yaache yabebe na kufanya yanachotaka unapata chako unakaa kimya ukibishana nayo yatakumaliza hayo. Hivi ni wewe kweli Gadafi siamini teh teh teh
b753e8ce0ee0bef8f76e791c4e03-grande.jpg
 
Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?
Mwafrika hana hiyo color coding, mwafrika safi ni mchanganyo wa marangi kwenda mbele, kama upinde wa mvua!
 
Sasa bwana mdogo ka2wakilishe vyema kwene hayo ma olimpiki, ningekupa kampani huko Landani nimcheck na mke wa Obama naskia yupo huko ila viudaku hivi vitasema sana
Seleman%2BKidunda.jpg

Ohh by the way kama hukufatilia olympics pamoja na mbwembwe zote za kuagwa jamaa alifimuliwa round 3 tu pnt 20 kwa 7 one of the easiest fight so far(nime quote alichosema mtangazaji siku hiyo) hii kwangu inatokana na kutopeleka wa2 compitent kutokana na rushwa and other cr*p, anyways acha picha ziendelee kuongea au co
 
Mwafrika hana hiyo color coding, mwafrika safi ni mchanganyo wa marangi kwenda mbele, kama upinde wa mvua!
Basi tuvae nguo zetu za Kiafrika. Laa sivyo itakua aping!
Alishindwa kuvaa shati nzuri la kitenge au Mandela Shirt?
Angetafuta sati nzuri la rangi randi cha AlphaDi mfano?
 
Back
Top Bottom