Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

attachment.php
 
nimeamini jk ni janga kubwaaaaaaaaaa la kitaifa! Lord Have Mercy on us! HIVI BADO WATU WATAICHAGUA CCM TU?? BORA NILALE NYUMBANI KAMA NI CHAMA PEKEE CHA KUKIPIGIA KURA! Pathetic!
 
Nina imani kuwa baada ya kuona kuwa nanasi za hapa Bongo ni bora kuliko za huko Ghana na Ivory Coast, atajitahidi kuzitafutia soko za hapa kwetu huko Ulaya wanakouza wenzetu.
attachment.php
 
Kuna mtu kagundua nilichokiona katika huu mfano wa cheki?
attachment.php

Cheki zote zina mushkeli. Hii hapa juu, kama ilivyo ile nyingine ni kwamba maandishi na tarakimu haviendani, dola laki mbili kwa laki tatu. Ile cheki nyingine, maandishi yanaonesha thamani ya milioni mia mbili themanini na sita TU, ilhali tarakimu zinaonesha milioni 286.9. Umakini wa mpokea cheki unahojiwa sana hapo!

 
dah kwel kiranja wetu katalii.....

Mpaka sasa amesha safiri mara 333 nje ya nchi..Chezea kikwete wewe, maana yake ni kwamba kama kila safari alikuwa anakaa huko siku tatu kimahesabu ni hivi===333x3= 9999 ukigawa kwa nambaya siku za mwaka 999/365 ni sawa na miaka takribani mitatu nchi bila raisi....
 
Mh hizi picha msiweke jamani maana nikiziona nasikia hasira mpaka machozi yanatoka, sijui hawa tulionao ni viongozi au wahujumu uchumi.

Hawa mbona afadhali watu wako darasani kabisa na wengi wao wamekaa kwenye madawati...hahahah
 
Asante rais wetu mimi nakupenda kwa kuchanganyika na watu wa aina zote. Huo ndio utu na si hao wengine wanaojiona wako at the top of the earth hawana time na watu wadogo wa uswahilini,au wacheza sinema au bibi kama huyo uliyemtembelea huko chalinze. Nakushkukuru unajua pia kuna watu kama kina kanumba, happy magese na huyo mama mliyekuwa naye kwenye kampeni. Nitafurahi sana ikiwa siku moja utafika uswahilini kwetu tegeta kwa ndevu. Karibu sana.
 
Uhasidi tu umewajaa.

Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.

Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?
this stupid guy never talked any logical thing..kila siki ni pumba tu... utumwa bwana taabu kweli
 
kikwete na pipi.JPG
Bila shaka huyu ni Ritz au Rejao akipokea pipi kutoka kwa raisi wa Tanzania.

Kikwete na Saidi Kubenea.jpg
Hapa niliamini kabisa waliotaka kumuua Saidi Kubenea wangekamatwa baada ya kuona Raisi wetu kaguswa kweli kumbe wapi mpaka na leo....
 
Last edited by a moderator:
Uhasidi tu umewajaa.

Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.

Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?

View attachment 61743
Sijui kama unatofauti na huyu anaepokea pipi hapo juu.
 
Back
Top Bottom