Picha za Maandamano ya Zanzibar... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za Maandamano ya Zanzibar...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Apr 20, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  znz 1.jpg znz 2.jpg znz 3.jpg

  Boflooooooooooooooooooooooooooo
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  what is your take?
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  take kivpi na wewe nae?? si kaweka picha..jukwaa la photo....take ya nini?
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  ni Muungano hawautaki au Katiba mbona wachache na kweli waarabu, hebu waachieni kisiwa chao warudishe Utumwa (ubwana na utwana) mm maoni yangu na nimewachoka PUNDA HAPANDI MUSCAT
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante Yo Yo
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Mtuhumiwa katulia wala hana wasiwasi mpaka anapiga simu

  [​IMG]
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  waarabu awautaki muungano?
  hivi ni kweli bilala naye hautaki????
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hayo maandamano yako wapi?? Mbona mimi naona watu wako kwenye Karandinga tu?
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Wanawaonea, kama maandamano yalikwa ya amani kwanini wawakamate? HATI YA MUUNGANO IKO WAPI JAMANI?
   
 10. N

  Ntuya Senior Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  muungano, hawana jipya. watulie
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwache ajitie upofu
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwa raha zake
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari wako wapi, mbona naona waarabu tu?
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  teh!..hii kweli ya great thinkers!
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii "whats your take" imevamiwa...duh!...
   
 16. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona wachache sana?ingekuwa bara ungeona wamepigika afu wamejazana balaa
   
 17. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu hao wamekamatwa na FFU walikuwa wakiandamana kwenye jengo la Baraza la Wawakilishi Zenj. Ni wanachama wa Kikundi cha Wapigania haki za Wazinzibar ambao wanataka ipigwe kura ya maoni juu ya Muungano wa Zanzibar kabla ya mchakato wa kupiga kura kuanza.
   
 18. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kosa la hawa watu nin nini, kuandamana si ni haki ya msingi ya kila mwananchii???? Itabidi katiba mpya ieleze kinagaubaga kwa uwazi kuwa maandamano ni haki ya msingi, hizi dhuluma ziishilie mbali!!! Poleni Wazanzibari!!!!!!
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  lichama la magamba nalichukia hili! yaani kwa kifupi linchi limeoza, watu wanaishi kwa mabavu! halafu mnasema fisadistan ni nchi ya amani! amani makalio yangu!
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kikundi cha wala unga hicho mkuu we huoni hata sura zao, hao ndio wanadai hawataki muungano eti, vituko vya kizenji
   
Loading...