Napinga mechi ya ngao ya jamii kupelekwa Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,917
Reaction score
288,025
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika

Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini?

Je wenye Timu zao wakianzisha maandamano nani atalaumiwa?
 
Kama vipi TFF na Bodi yake ya ligi na wenyewe wahamie huko huko Zanzibar ili watuachie Ligi yetu. Huku kujikomba komba sasa ni too much!
Kwa nini wasipeleke Kirumba Mwanza au Sheikh Amri Abeid Arusha kama huo uwanja wa Taifa kila siku unatengenezwa?
 
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika

Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini?

Je wenye Timu zao wakianzisha maandamano nani atalaumiwa?
Unaweza maandamano Tu, mbona huko Chadema hamuandamani unataka kuhamasisha ya Simba na Yanga?
 
Tanzania ni moja...

TFF ina neno Tanzania ambayo ni Bara na Visiwa vyake.

Mpira ulichezwa kigoma, songea, tabora kipindi hakukuwa na timu za uwakirishi kama sehemu ya kuhamasisha michezo katika maeneo hayo na vilevile kutumika kama N. Grounds.
 
Wanasawazisha pia baada ya kuwepo kelele kubwa sana kulalamikia muungano kipindi hiki.
Simba na Yanga zikienda kucheza Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi hapo sawa lakini ngao ya jamii hapana, mbona UK wakicheza community shield Labda chelsea na man city wanacheza Wembley na Siyo Glasgow au cardiff
 
Tanzania ni moja...

TFF ina neno Tanzania ambayo ni Bara na Visiwa vyake.

Mpira ulichezwa kigoma, songea, tabora kipindi hakukuwa na timu za uwakirishi kama sehemu ya kuhamasisha michezo katika maeneo hayo na vilevile kutumika kama N. Grounds.
Zanzibar hawana Chama cha soka?
 
Tanzania ni moja...

TFF ina neno Tanzania ambayo ni Bara na Visiwa vyake.

Mpira ulichezwa kigoma, songea, tabora kipindi hakukuwa na timu za uwakirishi kama sehemu ya kuhamasisha michezo katika maeneo hayo na vilevile kutumika kama N. Grounds.
Acha kuchanganya mambo,TFF haingililiani na ZFF kwenye uendeshaji wa ligi. Mchezo wa ngao ya jamii ni ufunguzi wa ligi nchini chini ya chama husika.
Tuwaache ZFF nao wasimamie mchezo wa ngao ya jamii kufungua ligi kuu nchini mwao.
 
TFF ina mipaka?

Tuliletewa marefa kutoa arabuni, kesho wakiletwa toka wete au chakechake itakuwa mjadala wa kisiasa.

Kesho tuna AFCON viwanja vitakavyotumika ni pamoja na vilivyopo zanzibar kama sehemu ya Tanzania.

Na mataifa yanayoandaa mashindano hayo ni Uganda, Kenya na Tanzania. Na viwanja vitakavyotumika katikq mashindano hayo ni pamoja na vilivyopo zanzibar.

Mashindano ya kimataifa ya vilabu mfano Simba na Yanga wamecheza katika viwanja vya unguja (Zanzibar).

Ligi kuu Bara imechezwa katika viwanja vya unguja (Zanzibar).

Changamoto iliyopo ni kutaka kuchanganya masuala ya soka na siasa kwa kuhusisha masuala ya kiasa na mpira kisa Mh. Rais anatokea visiwani (Zanzibar).
 
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika

Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini?

Je wenye Timu zao wakianzisha maandamano nani atalaumiwa?
Nilishaacha kushabikia hayo matimu ya CCM. Tarehe 29.10.2025 wamekufa vijana wetu ambao pia ni mashabiki na wapenzi wa matimu hayo, lakini hamna siku hata moja timu moja kati ya hizo zimetoa heshima ya kusimama kwa dakika moja kwa wale wapenzi na mashabiki wao waliouawa kipindi cha uchaguzi
 
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika

Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini?

Je wenye Timu zao wakianzisha maandamano nani atalaumiwa?
Mbinu ya kuichangamsha kizimkazi!Wadanganyika wamelalatuu!
 
Ikiletwa Zanzibar

Uto kwisha habari yenu
 
Na hii sio mara ya kwanza naunga mkono hoja mkuu hawa wana ua radha ya game hawataki tucheze hapa wanataka tukawanufaishe watu wao kule sisi wa huku bara tutapata tabu mno
Azam acha apige pesa za vifurishi
 
Back
Top Bottom