Sijajua kwa huko Dar ila huku mkoani miaka ya karibuni kumetokea utaratibu wa dereva bodaboda kuzikana kwa maandamano. Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya inakuwa fujo barabarani siku ya maandamano.
Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane na askari ikiwezekana.
Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane na askari ikiwezekana.