Picha za kufikirisha na kutia hasira

Picha za kufikirisha na kutia hasira

Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Kama hutaki c ukanye[emoji90] na ustawaze maji lobo vaa tu sempele lako sepa[emoji196]
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu yaliyoletwa na CCM, kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
Learned brother, naona kipindi hiki unaungana na kina generali ulimwengu.
 
Kuna watu wanasema sio Tanzania hapo kwenye picha zilizopigwa huku wakijinasibu kuna maendeleo wamefanya cha msingi zaidi kama tunataka kuleta maendeleo ya kweli lazima tukubali kwamba matatizo(changamoto) hizo zipo Tanzania tusijidanganye kwakuwa tunajenga Standard gauge..Juzi tu tulimrudisha mgonjwa wa cancer Ocean road kwa hali yake ilibadilika anapumua kwa shida tunafika hospital tunaambiwa oxygen imeisha hapo hospital kirahisi tu..
 
Vipi mtoa post ushalipa malimbikizo yako ya tanesco ?
 
MKUU KUNA WATU HUTUMIA VIUNGO KIAJABU,SIO AJABU MACHO YA BAADHI YA WATU NI VITOBO TU.WE UNAONA WANAANGALIA KUMBE WENZAKO WANACHUNGULIA.
Hayo ni matumizi mabaya ya viungo tulivyopewa bure na muumba wetu.
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu yaliyoletwa na CCM, kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
Using'ate na kupuliza boss nyoosha maneno P
 
Hii ndiyo taswira ya Afrika na uafrika huko Duniani. Yaani wakikuona tu wanajua wewe ni mmoja wa hao waafrika waliopo kwenye hizo picha. Halafu mpuuzi mmoja wa marekani akituita kwa lile jina la kukera tunanuuuuuuna mpaka viongozi wetu wanachoma mamilioni ya dola kukutana Addis Ababa kukutana na kutoa tamko la kumlaani huyo mpuuzi badala ya kutatua hayo matatizo ya kwenye hizo picha.
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu yaliyoletwa na CCM, kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
😀
 
Daa we pascal wewe, huogopi chochote kabisa.

Braza tunakupenda sana hawa jamaa si wa kukosoa bora ungetumia fake ID
 
Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Ccm ni laana kwa Watanzania! Sote kwa umojaa wetu tuikatae kwa nguvu zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom