Picha za kufikirisha na kutia hasira

Picha za kufikirisha na kutia hasira

dah! ila tunahsuria kushukuru kwa yote
5bfd8ff8cc6675ca8bf04c5d3fb5967b.jpg
 
Hizi ni picha za wakimbizi kutokea Burundi miongoni mwa picha hizo wakati zinapigwa nilishuhudia na zipo nyingi kwenye galary yangu
 
Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Mkuu hizi picha mimi naweza kuamini zimepigwa Tanzania maana Mama angu aliwahi pangiwa kituo cha kazi dodoma vijijini nikakuta watu wanakunywa maji yenye rangi kama chai ya maziwa nikabaki kushangaa sanaa
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
Naona leo akili zimekurudi umeatua kutumia kichwa kufikili. big up chief
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
Naona leo akili zimekurudi umeatua kutumia kichwa kufikili. big up chief
 
Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Unatoka/unaishi wapi kwamba vitu hivi huamini kama vipo ?
Muulize aliyepost wanafunzi wakifanya mtihani chini ya miti !
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu yaliyoletwa na CCM, kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
?????????
 
Upo sahihi zote sio za Tanganyika lakin haiondoi ukweli kwamba kuna watanganyika wanaishi maisha kama hayo.

Mwaka jana nilikuwa nalima mboga mboga sehemu fulan. Wale jamaa waliokuwa wananipa kampan ya kazi walikuwa wanakunywa maji ambayo katika hali ya kawaida huwezi kuyanywa. But kwao halikuwa tatizo sana. It was pathetic
MKUU KUNA WATU HUTUMIA VIUNGO KIAJABU,SIO AJABU MACHO YA BAADHI YA WATU NI VITOBO TU.WE UNAONA WANAANGALIA KUMBE WENZAKO WANACHUNGULIA.
 
Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Hatuwa kubwa uliyopiga ni ipi mkuu hebu iseme hapa, wewe unafikiri miaka 50 ni midogo,, mi nachojuwa miaka hamsini mliyopiga hatuwa ni Ufisadi ukandamizi wa Elimu na kupata madaraka ya kulevya,,UNAPIGA ATUWA KUMI MBELE UNARUDI HATUWA NANE NYUMA ALAFU UNAJIPONGEZA..
 
Ohhhpppsssss.....[emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
aiseee[emoji25] hata kama hizo picha hazijapigwa tzee ila trust me kuna watanzania wanaishi maisha kama hayo
 
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu yaliyoletwa na CCM, kwenye baadhi ya maeneo!.​
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.

P.
Kinyume chake[emoji196] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom