Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
- Thread starter
- #161
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitembelea sehemu ya Ghala la kuhifadhia Silaha iliyoathirika kwa milipuko ya Mabomu jana jioni katika kambi ya kutunzia silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania Gongolamboto jijini Dar es salaam leo. wa pili kulia Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Lt General Abrahamani Shimbo
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni General Abrahamani Shimbo, akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal Mabaki ya Mabomu yaliyoripuka kwenye Ghala la kuhifadhia silaha katika Kambi ya kutunzia silaha ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania Gongolamboto jijini Dar es salaam, wakati Makamu wa Rais alipotembelea eneo laKambi hiyo leo