Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

Edwawi.jpg
 
tembea.jpg

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Maspika wenzake kutembelea vivutio mbalimbali vya kitalii katika Mji wa Port of Spain katika visiwa vya Trinidad and Tobago mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa 21 wa Maspika wa nchi za Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini humo.
 
Beba.jpg

Former President Ali Hassan Mwinyi holds Christina Stephen, whose parents live with HIV/Aids, moments after inaugurating an HIV screening & counselling centre at Vingunguti Clinic in Dar es Salaam yesterday.With him are MDH chairman Prof Jorge Dominguez & Christina`s mother, Janeth Peter Nyongo. (Photo: Selemani Mpochi)


Maziko.jpg

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa 2 kulia), akishiriki ibadaya kumuaga Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Regia Mtema, nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es Salaam jana.Regia alifariki kwa ajali ya gari alilokuwa akiliendesha eneo la Ruvu, Pwani.
 
Mchele.jpg

Mfanyabiashara wa nafaka, Zainabu Ali, akiuza mchele katika soko la Mwenge, jijini Dar es Salaam jana. Mchele umepanda bei kutoka Sh. 1,000 hadi 2,300
 
Mi nachoomba kwa hawa viongoz wet hata wawe na moyo wa huruma kwan wametutesa cna na kfanya msemo ule wa mweny nacho huongezewa na asiyekua nacho hunyanganywa hata kile kidogo alichonacho .binafsi cwaamin wabunge wote kwan wamekua wakiigiza kuiponda serikali lkin ni uwongo kwan serikali ni bosi wao
 
Malasusa.jpg

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akiomba alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa familia ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam jana.(PICHA:SELEMANI MPOCHI)
 
CCM na serikali yake wanatubedua bedua wananchi wanavyotaka wao...............ipo siku, lazima na mii nitatafuta nafasi ya kumuingiza mtu kijiti cha kalio.........hata kama nitakuwa nimesafiri.........nitarudi kwa ajili ya kazi hiyo tu!!

Kama wazee wetu waliweza kuungana na wenzao wa nchi nyingine za Afrika kumuondoa mkooloni mweupe, sisi tunashindwa nini kufuata nyayo za Misri na Tunisia kumwondoa mkooloni na mnyonyaji mweusi??? Au rangi ya ngozi inatuchanganya??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom