Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

Ambulance.jpg

Ambulances with referral patients wait at entrance to emergency department of Dar es Salaam`s Muhimbili National Hospital yesterday. Paul Magesa, Chairperson of the MNH branch of the National Association of Nurses, said nurses at the hospital have joined the doctors` strike. (Photo: Khalfan Said)
 
Docs.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Wauguzi Tanzania (Tanna) tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Paul Magesa, akizungumza na waandishi wa habari jana hospitalini hapo wakati akitangaza kuanza kwa mgomo wa wauguzi ili kushinikiza serikali isikilize madai ya madaktari kwa sababu hawawezi kufanya kazi bila wao.
 
NSSF.jpg

NSSF project manager John Msemo (3rd-L) brief officials from CRJE Company when they toured the location where Kigamboni Bridger will be constructed at Kurasini, in Dar es Salaam, yesterday.Looking on is CRJE chief engineer Zho Zejun (2nd-L).(Photo: Guardian Photographer)
 
Jk.jpg

Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu za Afrika, Jaji Gerald Miyungelo aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
 
Sita.jpg

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ambaye amekua akisisitiza kuwa Dr. Mwakyembe alilishwa sumu, akizungumza za wabunge kutoka Mkoa wa Mbeye, Prof. David Mwakyusa (Rungwe Magharibi) na Godfrey Zambi (Mbozi Mashariki), nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom