Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
- Thread starter
- #81
watawajua sa ngapi wakati kashashiba usingizi wamnyemelea anawaza tu kitanda, too badwalioshiba hawajui wenye njaa!
Ulikuwa kwani wewe hujuwi?kumbe ze boss ndiye anayepeleka ze shuga neiba kantre?
ndio maana polisi wanashindwa kuzuia magendo ya sukari
Mh kweli haya mapicha yaukweli....