The deputy Minister for works, Dr Harrison Mwakyembe chats with one of his allies, Kahama legislator, James Lembeli last Sunday, when they attended a special mass at Kawe revival church.
Muuguzi wa wodi ya watoto (Makuti ward) katika hospitali ya Muhimbili, akimuhudumia mtoto huyu hospitalini hapo jana. Huduma katika wodi hiyo hazikuathirika sana na mgomo wa madaltari unaoendelea.
Madrasa students attend Maulid Day celebrations at Maisara grounds in Zanzibar on Saturday night to mark the birthday of Prophet Muhammad S.A.W. (Photo: Ramadhan Othman of Zanzibar State House)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika shamrashamra za mkesha wa sherehe za Maulid, jijini Dar es Salaam juzi.(PICHA: MUHIDIN SUFIAN)
Rais Jakaya Kikwete (wa2 kulia), akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani,Johhnie Carlson (kulia), baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja na wapili kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Leinhadt.(PICHA: IKULU)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.