Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

Kova akitaka kumalizana na hawa jamaa awaandalie Ubwabwa pale Mnazi Mmoja halafu awatangazie kila Muislamu anyeandamana aje na Ndizi kesi itakua imekwisha!

550401_291712227604473_1280719357_n.jpg
umejuaje?njaaaaaaaa tu ndio inawasumbua hawana lolote!
 
Camera za USALAMA WA RAI mtaani zilizowekwa na kufungwa baadhi ya maeneo bado zinafanya kazi??!!,Walioandamana picha zao zitakuwa kwenye CCTV!!!,Polisi msijekutuambia baado mnawatafuta walioandamana.!!!
 
.............Yaaaaaani hizo picha ni kama zile za nchi mbali mbali zenye machafuko..... kama Libya, Tunisia,Somalia .................hakuna tofauti hivi tunataka nini? ..............tujiulize katika Afrika ni nchi gani ambayo haijaonaa joto la jiwe katika kuchapana na kuchinjana wenyewe kwe wenyewe tena hadharani? wenzetu Rwanda, Congo, Togo, Ivory Coast, Mali, Bukina Faso, Burundi, South Africa, Uganda, Sudan,......... zingene ongeza mwenyewe .............hao wote na wengine wameshajionea madhara ya vita vya wenyewe kwa wenyewwe!!!!!!!! dini, ukabila,sio mambo ya kuyaombea kama nilivyosema wote wanaokaamatwa wapelekwe magereza za mbali na DSM, Kiabakari, Ngara, Muleba, Kasulu, Ruangwa , Nansio, Mbinga, Nkasi mboona dawa yao ndogo tuuuuu ... haina hata haja ya kuwauwa
 
Kwa nini wanaenda Ikulu? Ndicho kijiwe chao cha kuratibu uhaini huu?
"Raisi kawapa pole Wakristo" nalo ni kosa? Kwa akili zao zilivyo wanaona ni raisi wao peke yao? Au ndivyo anawaambiaga?
"Polisi wafanyia kazi maneno ya maaskofu" Hawa watu wanadhani polisi wako upande wao tu kama head prefect wao alivyo?
Nilitegemea kwenye tangazo wangeanza kwa kusema

"Mtego wetu wa quarani wanasa; Raisi autetea mtego wetu; Makanisa ya twachomwa moto; mali mbali mbali za makanisa za twaharibu na zingine twapora; vijana wetu wapata ajira; polisi wasimama kinyume cha mambo yetu; sasa njoni tuandamane na kufanya vurugu zaidi....".
 
Asante kwa picha

lakini naona ni askari tu, hao waandamanaji wachache, Humu jamvini tunavyoaminishwa kwamba kuna fujo sana, lakini sioni kwenye picha hizi.

mkuu yaani ukiwa unapata update humu jamvini kweli unajua hali ni mbaya sana.
Nimetoka posta hadi mnazi mmoja pako shwari huwezi amini km niliyokuwa ninasoma jamvini,ndy nikasikia mtu mmoja anasema maeneo ya pale msimbazi ndy kulikuwa na vurugu,nikashukuru kweli polisi wamejitahd kudhibiti.
Kwa maelezo ya jamvini huwezi kuamini kwamba watu wa mnazi mmoja na maeneo ya katikati ya kariakoo hata hawajui kinachoendelea wanapiga kazi km kawa.
 
DSC09687.JPG



Muumini wa dini ya Kiislamu akishahadia kwa mola wake na kusema nipo
tayari kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah baada kukamatwa na Askari
wa Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu. Picha blogu ya Dar Es salaam

DSC09679.JPG


DSC09685.JPG


DSC09692.JPG


DSC09690.JPG


DSC09682.JPG


Picha zote na Happiness Mnale


Na Andrew Chale

WATU sita waliokuwa na nia ya kuandamana kuelekea Ikulu wamekamatwa na Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa waandishi wa habari
waliopiga kambi katika viunga vya Ikulu watu hao walifika mmoja mmoja kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati. Kukamatwa kwa watu hao kunafuatia Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwatawanya waumini wa dini ya Kiislamu ambao walikuwa na nia ya kufanya maandamano.

Waandishi wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa na silaha.

Source: http://daresalaam-yetu.blogspot.co.uk/2012/10/shuhudia-picha-za-baada-ya-vurugu.html#_
 
MBONA HAKUNA VIFOOOOO..... kumbe ni mbio za kawaida tu hata marathon zipo.... Tired hakuna waislam walio uawa sina RAHA...

MSIFURAHIE mtu yeyote kuuwawa kwa sababu ya tofauti za kiimani. tuombe MUNGU tu huyo anae leta vurugu akamatwe halafu afungwe jela hata kama ni miezi miwili kwasababu hawaitakii mema nchi yetu.haiingii akilini mimi nifurahie kifo cha msukuma mwenzangu eti kwasababu ni mwislamu,haingii akilini mhehe mwenzagu auawe mimi nifurahie kwasababu yeye ni mkristo mimi ni mwislamu!! je,mimi ambae nusu ya ndugu zangu ni waislamu ni wakatae eti kwasababu sheik ponda kaniudhi,haiwezekani!!! vita vya ndani havina mshindi.angalieni nani mchonganishi halafu tumpuuze,tumdharau.
 
yaani watu wachache walijaribu kuandamana
halafu polisi wakajaa
but ukija jf utafikiri tuko lebanon
hakuna lolote serious

watanzania mostly wanajali ugali na kulala kwa amani

mengine yoote ni propaganda tu

Thats bora kuweka picha. They speaks louder than words.
 
yaani watu wachache walijaribu kuandamana
halafu polisi wakajaa
but ukija jf utafikiri tuko lebanon
hakuna lolote serious

watanzania mostly wanajali ugali na kulala kwa amani

mengine yoote ni propaganda tu


hahahahah....hao wachache yawezekana kuna mmoja ana bomu kiunoni..
 
I wish one true army officer would take-over the running of this country ili tujipange upya. 2015 mbali mno kwa mwendo huu!
 
Thats bora kuweka picha. They speaks louder than words.

hiyo picha ya darajani ungeitoa
sidhani kama ni ya leo
na pili inaongeza exaggeration tu ya yaliyotokea leo kariakoo...
sio fair..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom