Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

104547519.JPG


Hapa ni mtaa wa Mkwepu jijini
 
asante kwa kutujuza mkuu maana wengine
tunapigwa na viyoyosi tu kumbe mtaani si shwari
 
Asante kwa picha

lakini naona ni askari tu, hao waandamanaji wachache, Humu jamvini tunavyoaminishwa kwamba kuna fujo sana, lakini sioni kwenye picha hizi.

Kama upo Dar pita kariakoo ewe Tomaso. Ni kwamba polisi wameweza kuyazima lkn wapo kibao kwenye vikundi vidogovidogo.
 
Pengine mashine yangu mbovu jamani. Sijaona hao waandamanaji wakushindikana. Au polisi wamemwogopa Jemedari wao wakaona wapishe lawamma kwa kwa Mkuu wa Majeshi? Mimi nahis polisi hawajazidiwa ila Saidi anaona haya kupambana na wafuasi wa shemeji aliyeko kutalii.
 
8455629_orig.jpg


Hapa nafikiri walikuwa wamefunga barabara ya posta mpya na daladala zilikuwa hazitumii kile kituo. Walioko bado maeneo hayo watuambie kama bado kimefungwa please.


 

Tusiipende kushabikia mambo yanayoweza kuleta shida kwa taifa letu. Shughuli hizi tukiziendekeza huwa hamna mshindi. Ni vizuri kujadili kama Great Thinkers na sio kama wahuni. Natamani nisipite mtandaoni hapa lakini kwa kuwa kuna watu ambao wana constructive ideas napenda kusoma habari zao. Hakuna tatizo lolote lisiloweza kutatuliwa na wana adamu chini ya jua wakiheshimiana na kukubaliana kujadiliana.
 
Maskini Rais wangu anakula bata Oman, huku Uamsho wanafanya mambo yao
 
Back
Top Bottom