Picha ya Siku, Tanga Raha

Enzi zile pale Mkuzi kuelekea Kifungilo Girls kwenye Mipeasi Niliwahi.....
Yaani kijijini raha sana.
Mkipendana mnaenda kumalizana huko kwenye kitivo cha makabichi au kwenye miti ya matunda damu au mafyoksi
 
Halafu Tanga Hakuna Majina magumu ya Hasira hasira, hapana, utasikia Tanga Raha, Makorora Wadeka, Tanga Fresh, Siri yako, Fresh ya Shamba..... Ilimradi tu. Kule Hakuna Sijui KAZURA MIMBA (kuelekea Kigoma) Kagongwa - Shinyanga, Kahama Aaghh
Kama Mwanza mara Buhongwa,Buzuruga,Busweru plus ng'ombe utoe ukioa hakika sioi huku
 
Enzi zile pale Mkuzi kuelekea Kifungilo Girls kwenye Mipeasi Niliwahi.....
Sawasawa.
Kuna ile miti ikifika alfajiri au usiku inatoa majimaji kama mapovu unaikumbuka?
Ukipita chini inakudondokea....ukiangalia vibaya kama mate.
Ile usiku inageuka vihema
 
Siku hizi Makakara wanayaita Pesheni.
Hapana.
Makakara yako tofauti na mapensheni.
Makakara yakiiva nje gamba lake linakuwa la rangi ya damu ya mzee inaelekea kwenye weusi ila mapasheni ni ya njano.
Makakara matamu sana kuliko mapasheni
 
Sawasawa.
Kuna ile miti ikifika alfajiri au usiku inatoa majimaji kama mapovu unaikumbuka?
Ukipita chini inakudondokea....ukiangalia vibaya kama mate.
Ile usiku inageuka vihema
Hahahaa naikumbuka vyema saana! Duh maisha yanabadilika Sana
 
Nimemiss makweme, yanaiva mwezi gani?
Sawasawa.
Kuna ile miti ikifika alfajiri au usiku inatoa majimaji kama mapovu unaikumbuka?
Ukipita chini inakudondokea....ukiangalia vibaya kama mate.
Ile usiku inageuka vihema
 
Mbwembwe na bada
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…