Picha ya Siku, Tanga Raha

Picha ya Siku, Tanga Raha

Tanga nouma saäana Sana
IMG-20181109-WA0072.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningekuona ningecheka mpka nianguke
Kwa kweli maana msambaa mimi wangenishangaa nimeinama nachuma vimajani
Ila ndo wala sikuwa na habare.... nachuma natia zangu kwenye rambo
 
Kumbe
Hilo jiko nyumbani kwetu kule kwe mifiu, kijiji cha Maringo, kwa vigingi, kata ya Malindi karibu na kwa Paul, Lukozi wilaya ya Lushoto, njia ya Mtae lipo.
Hayo majiko pembeni yanatumika kuweka mboga isipoe baada ya kupika.
Hapo tumetoka kuchuma mbwembwe na kabichi kwenye kitivo, tunapika chukuchuku...pembeni babu anakamua ng'ombe maziwa mengine anaweka kwenye kibuyu kugandisha mtindi.

Kijijini raha sana.
Msambaa asilia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom