Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,940
- 4,161
Tutake radhi sisi tuliokuja speed na mawazo yetu mfukoni..
Kwani Wasambaa wengine wanatoka wapi?...Najivunia kuwa msambaa kutoka Tanga
Ulijua utakutana na msambwanda wa maana kumbe mapishi tu.Mi nilipoona "Tanga Raha" si nikaja speed nikidhani nanii bhana... aaaaaaaaargh! Not fair at all.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hiyo ni kweli Afrika, Tanzania!
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hiyo ni kweli Afrika, Tanzania!
Umenikumbusha nyumbaniKweli Chief
Kuna Duka lipo Barabara ya 6 kwa Barabara ya Jamaa,
limeandikwa
TANGA ULAYA
Tanga kwetu huko , kuna makolola,Hamboni,nguvu Mali duga mikanjuni,sahare,mwakidila,mwahako, n.k
Hilo jiko nyumbani kwetu kule kwe mifiu, kijiji cha Maringo, kwa vigingi, kata ya Malindi karibu na kwa Paul, Lukozi wilaya ya Lushoto, njia ya Mtae lipo.Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hiyo ni kweli Afrika, Tanzania!
Kuna wasambaa wa kufoji kibao kule Korogwe (tamka 'Koh'ogwe') na pale Handeni.Kwani Wasambaa wengine wanatoka wapi?...
Dada Jackline wewe si mnyakyusa wa Tukuyu?akhaaaaa..mm msambaa
Jamna mm sio mnyaki,mbona nimesema mm msambaaDada Jackline wewe si mnyakyusa wa Tukuyu?
Licha ya jina hata mtu husikaHahahaha.umefananisha jina au
Licha ya jina hata mtu husika[/QUOTEm
Mmmm.haya bhana
Hongera😘😘😘😘Hilo jiko nyumbani kwetu kule kwe mifiu, kijiji cha Maringo, kwa vigingi, kata ya Malindi karibu na kwa Paul, Lukozi wilaya ya Lushoto, njia ya Mtae lipo.
Hayo majiko pembeni yanatumika kuweka mboga isipoe baada ya kupika.
Hapo tumetoka kuchuma mbwembwe na kabichi kwenye kitivo, tunapika chukuchuku...pembeni babu anakamua ng'ombe maziwa mengine anaweka kwenye kibuyu kugandisha mtindi.
Kijijini raha sana.
Msambaa asilia...
Hilo jiko nyumbani kwetu kule kwe mifiu, kijiji cha Maringo, kwa vigingi, kata ya Malindi karibu na kwa Paul, Lukozi wilaya ya Lushoto, njia ya Mtae lipo.
Hayo majiko pembeni yanatumika kuweka mboga isipoe baada ya kupika.
Hapo tumetoka kuchuma mbwembwe na kabichi kwenye kitivo, tunapika chukuchuku...pembeni babu anakamua ng'ombe maziwa mengine anaweka kwenye kibuyu kugandisha mtindi.
Kijijini raha sana.
Msambaa asilia...