Picha ya Siku, Tanga Raha

Picha ya Siku, Tanga Raha

Yaani kijijini raha sana.
Mwingereza, afu raha yake uzipike chukuchuku huku pembeni una kanyama ka mbuzi au ng'ombe.

Kuna siku nilipita Mikocheni nikakutana na mbwembwe, nilizichumaje.
Hahahaha bwache, mnyoki (Kinyuli?!) my favorite. Kweme, magimbi dah
 
Upate Uwono Bonge, Tembele, Nazi, wali, muhogo, Duh acha kabisa kuna samaki watamu Unaweza kula ukajikuta umekaa uchi kwa utamu
Mnanitamanisha sijui kama mwaka utaisha huu sijavuta jiko huko
 
Ndugu yangu unafaidi sana na mimi kuna mmoja hapa jukwaani namuweka sawa nivute jiko niwe shuhuda wa raha za Tanga
Halafu Tanga Hakuna Majina magumu ya Hasira hasira, hapana, utasikia Tanga Raha, Makorora Wadeka, Tanga Fresh, Siri yako, Fresh ya Shamba..... Ilimradi tu. Kule Hakuna Sijui KAZURA MIMBA (kuelekea Kigoma) Kagongwa - Shinyanga, Kahama Aaghh
 
Back
Top Bottom